HATUNA HASARA WW. Hii serikali TAJIRI ikiminywa kila sehemu itakosa jeuri ya kutawala ndio tutapata sababu ya KUITIMUA. Vikwazo ni kwa SERIKALI sio Watanzania. Sisi ndio mabosi wao, mambo yakiwa mabaya kwa kunyimwa misaada kunakosababishwa na KIBURI na UJEURI wa watawala TUNAWATIMUA wakafie mbali. SIO NCHI YA CCM HII. Inaweza kuongozwa hata na VICOBA ili mradi katiba iheshimiwe tu.Tusifurahie jamani, kwa sisi watu wa chini maisha yanaenda kusimama!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anasubiri taarifa rasmi kutoka serikali ya Uswidi; hawezi kufanyia kazi taarifa za mitandaoni.Kwani mzee wa tashwishwi anasemaje kuhusu hili?
Nimepanga kutotukana mwezi huu.
Ila kama unataka tuache mjadala wa hoja na kuanza kutukanana, naweza pia.
Kwani tigo kuliwa mpaka uwe sehemu fulani?
Ukiwa Dar huwezi kuliwa tigo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatukuanza leo kukataa ubeberu soma historia
Nakufatilia kwa karibu upo vzr kakaHuko Sweden si ndiyo yupo Nguli wetu Dr. Slaa? Kwanini ameshindwa kushawishi kinyume chake?
Hilo nililitarajia sana, huwa Marekani akianza kutoa taarifa za ki CIA basi tutarajie nchi washirika nyingi kuja na misimamo yenye aina moja kiuelekeo.
Taarifa za CIA huwa rasmi kwa nchi nyingi washirika kwani wao pia huhusika kwa namna moja au nyingine katika kupatikana kwa taarifa hizo
Siii walisema hii inchi tajiri, mbona mwaanza kulalama tena!!! Swalamaaa huko! Inchi hii tajiri bwana,Nyerere Hydroelectric power bado, standard Gauge bado uwiiiii!! Tafadhali jamen huu ut tusijejetukauana bureeHuko Sweden si ndiyo yupo Nguli wetu Dr. Slaa? Kwanini ameshindwa kushawishi kinyume chake?
Hilo nililitarajia sana, huwa Marekani akianza kutoa taarifa za ki CIA basi tutarajie nchi washirika nyingi kuja na misimamo yenye aina moja kiuelekeo.
Taarifa za CIA huwa rasmi kwa nchi nyingi washirika kwani wao pia huhusika kwa namna moja au nyingine katika kupatikana kwa taarifa hizo
Not only that ,,,,bila shaka ttaanza kutegmea mapato ya ndani na uwekezaji,,,ttegemee kodi kupanda ,hakutakua na nyongeza ya biashara due to budget deficit...pia utakua mbinde kuajiliwa ,,,,nazan vilimo vinavyotegemea vyama vya ushirika kuuza mazao vitabanza zaid maana huko ni rahis tra kujipangia kodi nazungumzia korosho na tumbaku,,,,,Huko Sweden si ndiyo yupo Nguli wetu Dr. Slaa? Kwanini ameshindwa kushawishi kinyume chake?
Hilo nililitarajia sana, huwa Marekani akianza kutoa taarifa za ki CIA basi tutarajie nchi washirika nyingi kuja na misimamo yenye aina moja kiuelekeo.
Taarifa za CIA huwa rasmi kwa nchi nyingi washirika kwani wao pia huhusika kwa namna moja au nyingine katika kupatikana kwa taarifa hizo
Hopping for the best but expecting the worst.Impossible kutowategemea...kwan tunawalipa nn....
Are we gonna drop the bomb or not!Hopping for the best but expecting the worst.