Syria ikipenda wanaweza kuwafunza adabu Israel nayo ikaanza kuwaheshimu binadamu wenzao

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Inachofanya Israel kwa mataifa jirani ni utovu wa nidhamu mkubwa na kudharau utu wao.Mtua anayekudharau kupitiliza na kukuvunjia heshima lazima utafute mbinu naye umfedheheshe hadharani.

Kuingilia mambo ya ndani ya Syria kiasi hiki ni jeuri kubwa ambayo inapasa kujibiwa kwa namna bora inayowezekana.

Israel imepora ardhi ya Golan mwaka 1967 na mwaka huu imeongeza maeneo zaidi bila kujali maazimio yoyote ya kimataifa yaliyowekwa.

Tangu alipopinduliwa Bashara Al Assad wameshambulia kambi zote za kijeshi na bandari iliyokuwa ya wanajeshi wanamaji na kuziharibu meli zote za wanamaji hao.

Syria ipo kwenye eneo la kimkakati sana kati ya mataifa jirani na Israel ukiondoa vibaraka wawili ambao ni Jordan na Misri.

Katika miezi ya karibuni Israel imekuwa ikiiamrisha Syria isikaribie maeneo ya kusini ya mji wa Damascus kama kwamba sio mji katika nchi yao.

Jana tena wamepiga eneo karibu kabisa na ikulu ya nchi hiyo halafu waziri mkuu wa Israel na waziri wake wa ulinzi wakajisifu kuwa shambulio hilo wamelifanya kama onyo kwa utawala mpya wa Syria na kwamba wasisogelee kusini ya Damascus.

Kwa tabia ya mayahudi walivyo hawatoishia hapo kama hawakutafutiwa dawa.Baada ya miezi michache watapeleka jeshi mpaka katikati ya Damascus na ikulu yenyewe wakitoa visingizio vitakavyokuwa tofauti na kuwalinda druze ambao wamekuwa wakiwadanganya kama vipenzi vyao.

Dawa yake ni moja tu.Syria wachukue vyombo kutoka Iran bila kujali tofauti zao za huko nyuma kwani jukumu walilonalo sasa ni la dharura sana.Wawafungulie mlango Hizbullah kuchukua silaha kutoka Iran bila kikwazo chochote.
Kufanya hivyo ni njia ya kistaarabu sana kujibu madhila wanayoyapata kutoka Israel na hasara kubwa waliyoisababishia nchi yao.

Vile vile waikaribishe Uturuki iingie inapopenda ndani ya Syria bila kujali maneno ya yeyote yule ili iwatengenezee miundo mbinu ya kijeshi.Baada ya hapo waanze kujibu mashambulizi ama kwa anga au askari wa miguu kwa mamilioni kuelekea milima ya Golani kuteremkia Jerusalem,
 
Inachofanya Israel kwa mataifa jirani ni utovu wa nidhamu mkubwa na kudharau utu wao.Mtua anayekudharau kupitiliza na kukuvunjia heshima lazima utafute mbinu naye umfedheheshe hadharani.

Kuingilia mambo ya ndani ya Syria kiasi hiki ni jeuri kubwa ambayo inapasa kujibiwa kwa namna bora inayowezekana.

Israel imepora ardhi ya Golan mwaka 1967 na mwaka huu imeongeza maeneo zaidi bila kujali maazimio yoyote ya kimataifa yaliyowekwa.

Tangu alipopinduliwa Bashara Al Assad wameshambulia kambi zote za kijeshi na bandari iliyokuwa ya wanajeshi wanamaji na kuziharibu meli zote za wanamaji hao.

Syria ipo kwenye eneo la kimkakati sana kati ya mataifa jirani na Israel ukiondoa vibaraka wawili ambao ni Jordan na Misri.

Katika miezi ya karibuni Israel imekuwa ikiiamrisha Syria isikaribie maeneo ya kusini ya mji wa Damascus kama kwamba sio mji katika nchi yao.

Jana tena wamepiga eneo karibu kabisa na ikulu ya nchi hiyo halafu waziri mkuu wa Israel na waziri wake wa ulinzi wakajisifu kuwa shambulio hilo wamelifanya kama onyo kwa utawala mpya wa Syria na kwamba wasisogelee kusini ya Damascus.

Kwa tabia ya mayahudi walivyo hawatoishia hapo kama hawakutafutiwa dawa.Baada ya miezi michache watapeleka jeshi mpaka katikati ya Damascus na ikulu yenyewe wakitoa visingizio vitakavyokuwa tofauti na kuwalinda druze ambao wamekuwa wakiwadanganya kama vipenzi vyao.

Dawa yake ni moja tu.Syria wachukue vyombo kutoka Iran bila kujali tofauti zao za huko nyuma kwani jukumu walilonalo sasa ni la dharura sana.

Hii ngonjera unawaandikia wasyria humu kwa kiswahili mkuu
 
Balozi wao unadhani hasoma Jf.Habari imeshafika hiyo.
Na si balozi tu kuna wasyria wengi ndani ya Tanzania ambao wanasoma kila kitu halafu wanafikisha kwao kwa lugha yao ya kiarabu.
Hivyo hivyo kwa shinbet wamo humu humu.
 
Baada ya vita ya Kwanza ya Dunia Ottoman ikagawanywa na Watu wawili "Sykes-Picot Agreement" hawa Watu waliigawa middle east in such a way that Jamii ambazo ni maadui zikawekwa kwenye Ardhi/Nchi Moja.

Syria hata waite Magaidi wote unaowajua Duniani Hawawezi kupigana na Israel sababu there is no way Wassuni wakaungana na Jamii nyingine.

Mwezi March mwaka huu Waarabu wa Jamii ya Alawites 1700 waliuliwa.

Rais wa Syria sio yeye aliyetoa amri ya Kushambulia maeneo ya Wadruze ila ni Vikundi vya Kissuni ambavyo Bado vinasilaha...

Vikosi vya Usalama vya Syria now vinavyofanya kazi ni sawa na wahuni wawe wanaitana "Oya mwenye bunduki aje Leo tukalinde, a.k.a Sungu Sungu" Rais wa Syria anatakiwa Kwanza akusanye Silaha za Vikundi vya Kissuni kabla ya kwenda kwa Jamii za Kikurd, Druzes, Shias and others, Kwanza awake nidhamu kwa Askari wake. Otherwise ataliwa kichwa mapema
 
Inachofanya Israel kwa mataifa jirani ni utovu wa nidhamu mkubwa na kudharau utu wao.Mtua anayekudharau kupitiliza na kukuvunjia heshima lazima utafute mbinu naye umfedheheshe hadharani.

Kuingilia mambo ya ndani ya Syria kiasi hiki ni jeuri kubwa ambayo inapasa kujibiwa kwa namna bora inayowezekana.

Israel imepora ardhi ya Golan mwaka 1967 na mwaka huu imeongeza maeneo zaidi bila kujali maazimio yoyote ya kimataifa yaliyowekwa.

Tangu alipopinduliwa Bashara Al Assad wameshambulia kambi zote za kijeshi na bandari iliyokuwa ya wanajeshi wanamaji na kuziharibu meli zote za wanamaji hao.

Syria ipo kwenye eneo la kimkakati sana kati ya mataifa jirani na Israel ukiondoa vibaraka wawili ambao ni Jordan na Misri.

Katika miezi ya karibuni Israel imekuwa ikiiamrisha Syria isikaribie maeneo ya kusini ya mji wa Damascus kama kwamba sio mji katika nchi yao.

Jana tena wamepiga eneo karibu kabisa na ikulu ya nchi hiyo halafu waziri mkuu wa Israel na waziri wake wa ulinzi wakajisifu kuwa shambulio hilo wamelifanya kama onyo kwa utawala mpya wa Syria na kwamba wasisogelee kusini ya Damascus.

Kwa tabia ya mayahudi walivyo hawatoishia hapo kama hawakutafutiwa dawa.Baada ya miezi michache watapeleka jeshi mpaka katikati ya Damascus na ikulu yenyewe wakitoa visingizio vitakavyokuwa tofauti na kuwalinda druze ambao wamekuwa wakiwadanganya kama vipenzi vyao.

Dawa yake ni moja tu.Syria wachukue vyombo kutoka Iran bila kujali tofauti zao za huko nyuma kwani jukumu walilonalo sasa ni la dharura sana.

Vile vile waikaribishe Uturuki iingie inapopenda ndani ya Syria bila kujali maneno ya yeyote yule ili iwatengenezee miundo mbinu ya kijeshi.Baada ya hapo waanze kujibu mashambulizi ama kwa anga au askari wa miguu kwa mamilioni kuelekea milima ya Golani kuteremkia Jerusalem,
Usisahau kuwa utawala wa sasa wa Syria umewekwa madarakani kwa uwezeshaji wa US na Israel.

Warusi ama walijisahau au waliachia makusudi Assad akafurushwa madarakani kirahisirahisi na hao jamaa.
 
Mleta mada unasahau kuwa Hawa Magaidi wa Syria waliingia Madarakani bila mapambano, pia Syria ilikuwa inapigana based on Secterian
 
Baada ya vita ya Kwanza ya Dunia Ottoman ikagawanywa na Watu wawili "Sykes-Picot Agreement" hawa Watu waliigawa middle east in such a way that Jamii ambazo ni maadui zikawekwa kwenye Ardhi/Nchi Moja.

Syria hata waite Magaidi wote unaowajua Duniani Hawawezi kupigana na Israel sababu there is no way Wassuni wakaungana na Jamii nyingine.

Mwezi March mwaka huu Waarabu wa Jamii ya Alawites 1700 waliuliwa.

Rais wa Syria sio yeye aliyetoa amri ya Kushambulia maeneo ya Wadruze ila ni Vikundi vya Kissuni ambavyo Bado vinasilaha...

Vikosi vya Usalama vya Syria now vinavyofanya kazi ni sawa na wahuni wawe wanaitana "Oya mwenye bunduki aje Leo tukalinde, a.k.a Sungu Sungu" Rais wa Syria anatakiwa Kwanza akusanye Silaha za Vikundi vya Kissuni kabla ya kwenda kwa Jamii za Kikurd, Druzes, Shias and others, Kwanza awake nidhamu kwa Askari wake. Otherwise ataliwa kichwa mapema
Ahmad Sharaa ana mipango mizuri ya kuifanya Syria iwe pahala salama na wasyria waliotawanyika duniani warudi kwao.Tatizo Israel imemkalia kooni na kutaka kumfelisha.Hili taifa haliheshimu utu wa watu wala maisha ya watu wakiwemo watoto wachanga.
 
Tatizo sio Sharaa ni Chawa wake Ndio extremist
 
Kazi kuwachochea tu wenzenu si muende basi na nyie🤣🤣🤣
 
Baada ya vita ya Kwanza ya Dunia Ottoman ikagawanywa na Watu wawili "Sykes-Picot Agreement" hawa Watu waliigawa middle east in such a way that Jamii ambazo ni maadui zikawekwa kwenye Ardhi/Nchi Moja.

Syria hata waite Magaidi wote unaowajua Duniani Hawawezi kupigana na Israel sababu there is no way Wassuni wakaungana na Jamii nyingine.

Mwezi March mwaka huu Waarabu wa Jamii ya Alawites 1700 waliuliwa.

Rais wa Syria sio yeye aliyetoa amri ya Kushambulia maeneo ya Wadruze ila ni Vikundi vya Kissuni ambavyo Bado vinasilaha...

Vikosi vya Usalama vya Syria now vinavyofanya kazi ni sawa na wahuni wawe wanaitana "Oya mwenye bunduki aje Leo tukalinde, a.k.a Sungu Sungu" Rais wa Syria anatakiwa Kwanza akusanye Silaha za Vikundi vya Kissuni kabla ya kwenda kwa Jamii za Kikurd, Druzes, Shias and others, Kwanza awake nidhamu kwa Askari wake. Otherwise ataliwa kichwa mapema
Syria bado ijatulia kabisa yaani bado kwa nayo endelea kuyashuhudia ile nchi ina changamoto nyingi sana tena kubwa kubwa kila pande
 
Ahmad Sharaa ana mipango mizuri ya kuifanya Syria iwe pahala salama na wasyria waliotawanyika duniani warudi kwao.Tatizo Israel imemkalia kooni na kutaka kumfelisha.Hili taifa haliheshimu utu wa watu wala maisha ya watu wakiwemo watoto wachanga.
Ahmed al-Sharaa naye ni chawa mkubwa wa Uturuki na nafikiri uturuki wapo naye bega kwa bega kwa sababu ya wakurd
 
Hana kosa lolote hapo.Hawa ni ndugu tangu zamani.Ikiwezekana waunganishe nchi kabisa
 
Usisahau kuwa utawala wa sasa wa Syria umewekwa madarakani kwa uwezeshaji wa US na Israel.

Warusi ama walijisahau au waliachia makusudi Assad akafurushwa madarakani kirahisirahisi na hao jamaa.
Na waturuki pia HTS wamewekwa tu madarakani kutimiza matakwa ya mataifa ya nje na sio ya wasyria maana hata wapiganaji walikuwa sio Wasyria kwa kiasi kikubwa na mpaka leo bado wapo nchini
 
Hana kosa lolote hapo.Hawa ni ndugu tangu zamani.Ikiwezekana waunganishe nchi kabisa
Wakurd wana kubaliana na hilo na sio wakurd tu je jamii na makundi mengine yaliyo Syria yana kubaliana na haya mawazo yako ?
 
Usisahau kuwa utawala wa sasa wa Syria umewekwa madarakani kwa uwezeshaji wa US na Israel.

Warusi ama walijisahau au waliachia makusudi Assad akafurushwa madarakani kirahisirahisi na hao jamaa.
Sio kweli.
Ahmada Sharaa na Hizb tahrir waliwashtukizia US na Israel.Utaona jinsi ilivyohamanika Israel baada ya kushtukizwa
Shinbet hawakujua chochote pale.
Uturuki pekee ndiye aliyejua harakati za Hizbu Tahrir naye akamudu kuifanya siri kubwa mpaka dakika za mwisho.
 
Back
Top Bottom