Hakuwa na umuhimu lakini kifo chake kimeacha civil wars, unasemaje hivyo?Bashar AL Assad hakuwa na umuhimu wowote kwa watu wa Syria
Assad hajafaHakuwa na umuhimu lakini kifo chake kimeacha civil wars, unasemaje hivyo?
Ooh sorry I mean kupinduliwaAssad hajafa
Ni bora Assad tena mara mia kuliko hili genge la wahuni linaloendesha Syria sasahivi, imeshafeli na hakuna jinsi wataungana hawana political wala religious tolerance hapo ndio maana Assad aliwaongoza hivyo hao wasyria ni miongoni mwa waarabu agressive na jazibaAlipokuwa madarakani hakufanya juhudi yoyote kuwaunganisha watu wa Syria .Yeye aliamini njia za nguvu na ukandamizaji tu kama wa marehemu baba yake.
Hakuna anayeweza kuwaunganisha WaarabuAlipokuwa madarakani hakufanya juhudi yoyote kuwaunganisha watu wa Syria .Yeye aliamini njia za nguvu na ukandamizaji tu kama wa marehemu baba yake.
Mrusi hana maslahi ya maana mashariki ya kati pale anatumia tu ili kupata balance ya kete zake,,,,,,,jamaa hana cha kupoteza mashariki ya kati ila wamagharibi wakiongozwa na Marekani wakizembea watapoteza pakubwa,,,,,,resources zikiwa chache wamagharibi bora wapoteze influence Africa, huko Asia ila sio hapo mashariki ya kati,,, wamepapambania miaka na miaka tokea enzi hizo wanatawala warumi,na wanajua umuhimu wa lile eneo kwa maslahi yao ya kidunia na kirohoUsisahau kuwa utawala wa sasa wa Syria umewekwa madarakani kwa uwezeshaji wa US na Israel.
Warusi ama walijisahau au waliachia makusudi Assad akafurushwa madarakani kirahisirahisi na hao jamaa.
Assad alifulushwa makusudi In exchange Marekani aitose kiaina Ukraine. Wazungu wana unafki sana....Usisahau kuwa utawala wa sasa wa Syria umewekwa madarakani kwa uwezeshaji wa US na Israel.
Warusi ama walijisahau au waliachia makusudi Assad akafurushwa madarakani kirahisirahisi na hao jamaa.
Ismail hanniyeh angekuwa hai na gaza kusingekuwa na magofu. Yaani hamas walianzisha vita Kwa kutegemea magenge ya kubwa la magaidi( Jamhuri ya kiislamu ya Iran) ambayo ni Hezbollah na HouthiBila Sinwar kuanzisha vita ya Gaza Assad angekuwa Rais, Nasrallah asingekufa
Kazi ya kuchonganisha ni ya mayahudi zaidi kuliko mashia.Si unaona mambo yanavyoendelea kote mashariki ya kati.Mleta mada atakuwa ni Shia... maana Shia zao ni kuchonganisha tu and then wanatizama wanaenjoy Game makafiri Sunni wakiuwawa
Unamshirikisha druzes naye? Hao jamaa Wana hasiri ya ukaribu sana na wayahudi na hata Lebanon wanapoishi hizbollah walishambuliwa na Israel walipowagusa na wapo pia ndani ya israelBaada ya vita ya Kwanza ya Dunia Ottoman ikagawanywa na Watu wawili "Sykes-Picot Agreement" hawa Watu waliigawa middle east in such a way that Jamii ambazo ni maadui zikawekwa kwenye Ardhi/Nchi Moja.
Syria hata waite Magaidi wote unaowajua Duniani Hawawezi kupigana na Israel sababu there is no way Wassuni wakaungana na Jamii nyingine.
Mwezi March mwaka huu Waarabu wa Jamii ya Alawites 1700 waliuliwa.
Rais wa Syria sio yeye aliyetoa amri ya Kushambulia maeneo ya Wadruze ila ni Vikundi vya Kissuni ambavyo Bado vinasilaha...
Vikosi vya Usalama vya Syria now vinavyofanya kazi ni sawa na wahuni wawe wanaitana "Oya mwenye bunduki aje Leo tukalinde, a.k.a Sungu Sungu" Rais wa Syria anatakiwa Kwanza akusanye Silaha za Vikundi vya Kissuni kabla ya kwenda kwa Jamii za Kikurd, Druzes, Shias and others, Kwanza awake nidhamu kwa Askari wake. Otherwise ataliwa kichwa mapema
Next time, magaidi wanatakiwa kufanya proper Risk assessments, tazama Gaza, Lebanoni, Iran, Syria kote huko Israel kapiga, some of the regimes has been crippled, can't stand in their own. Poor PalestiniansBila Sinwar kuanzisha vita ya Gaza Assad angekuwa Rais, Nasrallah asingekufa
Baada ya kushtuka sasa ndio wanatafuta mbinu za kulitoa joka chini ya mivungu yao.Hatua kwa hatua mbinu watazipata ambapo litatoka likiwa maiti.Hawana nguvu hizo wala Akili,Israel alipasua vinu vya nyuklia akiwa hajui.
Israel alianza huu mchezo zamani sana wamakuja kushtuka ameshaota mizizi mpaka uvunguni vitanda vyao.
We endelea na Ubishi,marekani sio mjinga akae na IsraelBaada ya kushtuka sasa ndio wanatafuta mbinu za kulitoa joka chini ya mivungu yao.Hatua kwa hatua mbinu watazipata ambapo litatoka likiwa maiti.