Syria ikipenda wanaweza kuwafunza adabu Israel nayo ikaanza kuwaheshimu binadamu wenzao

Ukiona mtu anaamka Asubuhi Anaenda kumfanyia mtu fujo kisa kumtukana Mtume huyo mtu ni mjinga... Hakuna mtu Duniani anaweza kumtetea Al Shaara kwa hili Magaidi wake ni Wajinga sana
 
Kwanza wadruze wenyewe wameshasema hawajamtukana Mtume.
na kama ni mkanda wa sauti unaohusisha wadruze basi ni mayahudi wamemtukana mtume kwa niaba ya wadruze ili wasyria wapigane.Huo ni ushenzi sana.
 
Sasa huoni hao walioenda kuua wa Druze ndio wajinga
 
Back
Top Bottom