T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Niger wamefanya mapinduzi hakuna switching sides imefanyika. Usitetee kwa hoja mfu.Narudia tena
Machoni mwako unahisi watu walichelewa ila watu walienda kwa wakati ufaao
Kukimbiwa ama kuasiwa na baadhi ya wanajeshi ni kawaida sana haikutokea tu Syria wala haitaishia Niger
Nimekupa mfano mapinduzi yalofanyika Nigeria watu walokua wanamlinda Rais mwisho wamempindua na nchi haikua mgogoroni baina ya jeshi na jeshi kwamba 99% walikua hawampendi rais wao
Iran na Russia walikuja kwa timing ila nyie mlitaka wafike muda munaoona nyie muafaka
Moubaraq hakua assad na assad hakua Moubaraq hawa watu tofauti na kila mmoja kapambana kivyake nachangamoto zake
Assad kakimbiwa na wanajeshi zaidi ya 50,000 wakaanzisha makundi ya waasi. Niger nako wanajeshi wakimbia jeshi lao?
Hiyo timing ya Russia unayosema ndio ileile walikuwa Armenia hadi Azerbaijan inashinda vita Warusi wapo wanajivutavuta. Hata Syria pale Assad angepigwa ungeleta hoja nyingine.