T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Israel itayapuuza hayo maslahi ya Putin endapo Syria itawashambulia.Assad Putin hawezi kumuacha. Fuatilia maslahi ya Urusi pale ambayo yamemsaidia kubakia madarakani pamoja na kwamba US walitaka wamtoe.
Vladimir Putin kwa vyovyote vile hamkaribii uwezo Leonid Brezhnev aliyekuwa kiongozi wa USSR kipindi Israel na Waarabu wanapigana twice. Israel haikujali kisa Syria ina silaha za Urusi na trainers, haikujali kuwa Egypt ina Soviet supplied weapons hadi marubani wa Urusi walipigana na Israel kwenye encounter moja, haikujali Waarabu wameungana na wanaungwa mkono na USSR.
Israel ikishambuliwa kipaumbele cha kwanza ni maslahi yake na usalama wake. Ukiamini Israel itaiacha Syria iishambulie kisa Urusi ina maslahi Syria utajidanganya. Hawana option zaidi ya kupambana.
Na wakati unaitaja Urusi kwa Syria kumbuka kuna Marekani kwa Israel.