Kichwa cha habariSoma thread
Maneno hayo yanatokana na Aya ya Qur’an katika Surat Al-Baqara (2:120), ambayo inasema:Huyu mtawala mpya wa Syria na timu yake wana hekima na busara sana! Haya mataifa yanayojiita ya kidini ni tatizo. Huwezi kuwanyima wengine haki zao kwa kisingizio cha wingi au uchache.
Uzi huu sio kwa ajili ya kufundisha irabu, vina, au mizizi ya maneno. Jikite kwenye muktadha rafiki. Mbona mimi nimeelewa kilichomaanishwa?Kutanga ndo nini sasa
Umeanza!Maneno hayo yanatokana na Aya ya Qur’an katika Surat Al-Baqara (2:120), ambayo inasema:
"Wala Mayahudi hawatoridhika nawe, wala Manasara, mpaka ufuate mila yao."
Aya hii inaeleza kwamba baadhi ya watu kutoka dini nyingine hawatakubali na kuridhika na Uislamu au waumini wake hadi waumini hao wafuate njia yao ya maisha na imani. Inatufundisha umuhimu wa kushikamana na dini yetu ya Kiislamu bila kuyumba au kushawishiwa na mwelekeo wa watu wengine ambao huenda wana ajenda za kubadili imani yetu.
Merry Christmas to them indeed! Baraka tele kwa watu wa Mungu waishio pande za Tiro, na Sidon, na Dameski! Mungu akawajalie amani na upendo tele.Krismas njema kwa watu wa Syria
Mtu yeyote anayewabagua watu wa imani yoyote ile kwa namna yoyote ile, huyo ni uzao wa shetani.Maneno hayo yanatokana na Aya ya Qur’an katika Surat Al-Baqara (2:120), ambayo inasema:
"Wala Mayahudi hawatoridhika nawe, wala Manasara, mpaka ufuate mila yao."
Aya hii inaeleza kwamba baadhi ya watu kutoka dini nyingine hawatakubali na kuridhika na Uislamu au waumini wake hadi waumini hao wafuate njia yao ya maisha na imani. Inatufundisha umuhimu wa kushikamana na dini yetu ya Kiislamu bila kuyumba au kushawishiwa na mwelekeo wa watu wengine ambao huenda wana ajenda za kubadili imani yetu.
We ni muislam mkuuUzi huu sio kwa ajili ya kufundisha irabu, vina, au mizizi ya maneno. Jikite kwenye muktadha rafiki. Mbona mimi nimeelewa kilichomaanishwa?
We ni pumbavu pumbavu.Maneno hayo yanatokana na Aya ya Qur’an katika Surat Al-Baqara (2:120), ambayo inasema:
"Wala Mayahudi hawatoridhika nawe, wala Manasara, mpaka ufuate mila yao."
Aya hii inaeleza kwamba baadhi ya watu kutoka dini nyingine hawatakubali na kuridhika na Uislamu au waumini wake hadi waumini hao wafuate njia yao ya maisha na imani. Inatufundisha umuhimu wa kushikamana na dini yetu ya Kiislamu bila kuyumba au kushawishiwa na mwelekeo wa watu wengine ambao huenda wana ajenda za kubadili imani yetu.
Kwa hatua hii peke yake, tayari utawala huo umeshajivua kwenye sifa ya ugaidi na ninadhani wana nia njema ya kuleta ukombozi wa kweli kwenye taifa hilo.Serikali mpya ya Syria imetangaza Krismasi kuwa sikukuu ya umma.
Ofisi za Serikali zitafungwa tarehe 25 na 26 Desemba ya kila mwaka.
Cc. Ritz
Cc. FaizaFoxy
View: https://x.com/visegrad24/status/1871516597107736691?t=-uBxA8srUJ7bZ61coYFMSg&s=08
AMINA tuendelee kuwaombea watu hao maana wanaishi katikati ya mbwa mwituMerry Christmas to them indeed! Baraka tele kwa watu wa Mungu waishio pande za Tiro, na Sidon, na Dameski! Mungu akawajalie amani na upendo tele.
Anafanya hivyo ili aondolewe kwny orodha ya magaidi.Huyu mtawala mpya wa Syria na timu yake wana hekima na busara sana! Haya mataifa yanayojiita ya kidini ni tatizo. Huwezi kuwanyima wengine haki zao kwa kisingizio cha wingi au uchache.
Tafuteni kuwa na amani na watu wote! Hawa jamaa watabarikiwa hawa! Syria watafunguliwa milango ya baraka hawa!Jamaa ana akili huyu! Nashauri Serikali ya Mama Samia imtoe kwenye orodha ya magaidi na tuanze immediately kupeleka misaada Syria, in donor country's voice