Syria yatangaza Krismasi kuwa Sikukuu ya umma

Syria yatangaza Krismasi kuwa Sikukuu ya umma

Je, wajua kuna tofauti kubwa kati ya neno “KRISMASI” na neno “X-MASS”? Ikiwa haukujua tofauti, soma yafuatayo:

KRISMASI ni mchanganyiko wa maneno 2: "Kristo" na "Misa"

Miaka mingi iliyopita, kabla Kristo hajazaliwa, tarehe 25 Desemba ilikuwa siku ya wapagani kwa ajili ya Sadaka.

Baadaye, katika mwaka wa 533 BK Constantine mkuu wa Kanisa la Roma la wakati huo, ambalo leo ni Kanisa Katoliki la Roma, alibadilisha siku kutoka siku ya wapagani ya kutoa dhabihu hadi ukumbusho wa kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Aliita siku hiyo “MISA KWA AJILI YA KRISTO” yaani “KRISMASI”

1. KRISTO kwa Kiebrania maana yake ni “Mpakwa mafuta” au “Mteule”

2. MAS kwa Kigiriki maana yake ni “Mkusanyiko Mkubwa wa Watu”. Hivyo KRISMASI maana yake ni “Kusanyiko la Kristo”

Kisha neno "X-MASS", lilitoka wapi?

Inaaminika kwamba baada ya “Siku ya Kusanyiko la Kristo” (KRISMASI) kuwa maarufu na kuheshimiwa ulimwenguni pote, wasioamini Mungu na wapinga Kristo walifanya uamuzi wa kuibadilisha, kwa kuweka “X” badala ya jina la Kristo, kumaanisha kwamba hakuna Kristo.

Ilibadilisha maana kwa kuifanya "X-MASS" yaani kumaanisha "hakuna Mkusanyiko wa Kristo".

Heri ya CHRIST-MAS sio X-MAS.

X mara nyingi hutumiwa kutaja mtu, kitu, kipengele, ambaye jina lake halisi halijulikani au limezuiwa. Inatumika kuondoa, kughairi na kufuta maneno. "X" haina uhusiano wowote na "Kristo" "Mpakwa Mafuta". Tafadhali usibadilishe Kristo na "X".

Kama Mkristo usitumie X-MAS au Likizo Njema ambayo inatafuta kufanya vivyo hivyo. Tumia "KRISMASI" kila wakati.

Huenda ulifanya kosa hilo mwaka jana kwa kuwatakia watu "X-Mass" au "Likizo" badala ya "KRISMASI". Baba yetu wa mbinguni ni Baba mwenye upendo na mwenye rehema. Tafadhali wajulishe wengine.

Mungu akubariki unaposaidia kurekebisha kosa hili. Likizo Njema

Bwana akubariki.

Kuwa na "Krismasi Njema" sio "X-MASS".
Ubalikiwe sana mtumish

Na huu ndo uzuri wa jamiiforum Maxence Melo soma madini hayo
 
Huyu mtawala mpya wa Syria na timu yake wana hekima na busara sana! Haya mataifa yanayojiita ya kidini ni tatizo. Huwezi kuwanyima wengine haki zao kwa kisingizio cha wingi au uchache.
Waislam wenye msimamo mkali wanasema hawajui historia yake and wanasema anafanana kisura na Zelensky so kuna uwezekano mkubwa kuwa ni myahudi haswa pale aliposema hataki vita na Israel na kusema Syria inahitaji kupumzika na fujo za Iran .
 
Waislam wenye msimamo mkali wanasema hawajui historia yake and wanasema anafanana kisura na Zelensky so kuna uwezekano mkubwa kuwa ni myahudi haswa pale aliposema hataki vita na Israel na kusema Syria inahitaji kupumzika na fujo za Iran .
Amani amani amani! That's its.
 
Maneno hayo yanatokana na Aya ya Qur’an katika Surat Al-Baqara (2:120), ambayo inasema:

"Wala Mayahudi hawatoridhika nawe, wala Manasara, mpaka ufuate mila yao."

Aya hii inaeleza kwamba baadhi ya watu kutoka dini nyingine hawatakubali na kuridhika na Uislamu au waumini wake hadi waumini hao wafuate njia yao ya maisha na imani. Inatufundisha umuhimu wa kushikamana na dini yetu ya Kiislamu bila kuyumba au kushawishiwa na mwelekeo wa watu wengine ambao huenda wana ajenda za kubadili imani yetu.
Wapi umeona au kusoma kwamba watu hao wanataka watu wa huko wafuate imani yao au haujui kusoma kilicho andikwa hapo juu unakurupuka tu na aya zako bila kuusanisha na habari iliyopo, wewe ndio unawafanya wengine waonekane sio kumbe shida ni wewe na misimamo yako ya chuki kwa wasio na imani yako.
 
Hahaha kunatetesi Msikiti wa Mtambani na wa Mtoro wanajiandaa kwa siku kuu ya Krismass pia.
 
Wapi umeona au kusoma kwamba watu hao wanataka watu wa huko wafuate imani yao au haujui kusoma kilicho andikwa hapo juu unakurupuka tu na aya zako bila kuusanisha na habari iliyopo, wewe ndio unawafanya wengine waonekane sio kumbe shida ni wewe na misimamo yako ya chuki kwa wasio na imani yako.
Safi kabsa
 
Mtu yeyote anayewabagua watu wa imani yoyote ile kwa namna yoyote ile, huyo ni uzao wa shetani.

Wacha watu waabudu wanavyotaka na kwa namna wanayotaka, muamuzi ni Mungu.

Mungu kama angetaka watu wa aina fulani au wa dini fulani wasiwepo Duniani, asingeshindwa. Kwa nini ameruhusu sote tuwe pamoja? Hekima ya Mungu haihojiwi na mwanadamu, na Mungu siyo mwanadamu.
Umeandika vyema sana lakini makobazi grade b ya kibongo hayataki kabsa kuelewa
 
Wapo sahihi. Kwenye hii karne ya 21 huwezi kumwamulia mtu mzima aamini dini yako moja tu ya kuhadithiwa, kila mtu awe huru kuamini anachoamini yeye.
 
Back
Top Bottom