Syria yatangaza Krismasi kuwa Sikukuu ya umma

Syria yatangaza Krismasi kuwa Sikukuu ya umma

Huyu mtawala mpya wa Syria na timu yake wana hekima na busara sana! Haya mataifa yanayojiita ya kidini ni tatizo. Huwezi kuwanyima wengine haki zao kwa kisingizio cha wingi au uchache.
Huyu Al Sharaa ameachana na zile itikadi kali za kidini.
imhotep
 
Maneno hayo yanatokana na Aya ya Qur’an katika Surat Al-Baqara (2:120), ambayo inasema:

"Wala Mayahudi hawatoridhika nawe, wala Manasara, mpaka ufuate mila yao."

Aya hii inaeleza kwamba baadhi ya watu kutoka dini nyingine hawatakubali na kuridhika na Uislamu au waumini wake hadi waumini hao wafuate njia yao ya maisha na imani. Inatufundisha umuhimu wa kushikamana na dini yetu ya Kiislamu bila kuyumba au kushawishiwa na mwelekeo wa watu wengine ambao huenda wana ajenda za kubadili imani yetu.
Mtume Mohamad mbona alikuwa anaitambua Christmass.
 

Attachments

  • Screenshot_20241224_163423_Facebook.jpg
    Screenshot_20241224_163423_Facebook.jpg
    503 KB · Views: 3
Back
Top Bottom