Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanayoendelea kaskazini mwa nigeria kumbe yanafanywa na wahindu?achilia mbali makundi ya kigaidi yanao ua na kutesa watu kila uchwao.hakuna muislamu anamchukia mkristu
Utasikia Mwigulu na Mama wako Syria kuomba msaada.Baada ya miezi 4 Tanzania inaenda kuomba msaada Syria wa kujazia bajeti ya Mwingulu
Utumbo mtupu. Wangeridhikaje na dini feki ya uislam sawa na ukristo?Maneno hayo yanatokana na Aya ya Qur’an katika Surat Al-Baqara (2:120), ambayo inasema:
"Wala Mayahudi hawatoridhika nawe, wala Manasara, mpaka ufuate mila yao."
Aya hii inaeleza kwamba baadhi ya watu kutoka dini nyingine hawatakubali na kuridhika na Uislamu au waumini wake hadi waumini hao wafuate njia yao ya maisha na imani. Inatufundisha umuhimu wa kushikamana na dini yetu ya Kiislamu bila kuyumba au kushawishiwa na mwelekeo wa watu wengine ambao huenda wana ajenda za kubadili imani yetu.
Ushoga ni matakwa ya mtu binafsi wala usiisingizie serikali unataka kusema hapo ulipo serikali ikisema ushoga ni ruksa nawe utafanya ushoga? Bilashaka ni hapana, ni mpaka uwe na chembechembe za ushoga ndipo utafanya ushoga.Sio hekima,walisaidiwa na NATO kumtoa Assad hawanabudi kufanya Yale yote wanayofanya waliowasaidia mpk ushoga wataruhusu Subiri uone
Serikali mpya ya Syria imetangaza Krismasi kuwa sikukuu ya umma.
Ofisi za Serikali zitafungwa tarehe 25 na 26 Desemba ya kila mwaka.
Cc. Ritz
Cc. FaizaFoxy
View: https://x.com/visegrad24/status/1871516597107736691?t=-uBxA8srUJ7bZ61coYFMSg&s=08