Syria yatangaza Krismasi kuwa Sikukuu ya umma

hakuna muislamu anamchukia mkristu
Yanayoendelea kaskazini mwa nigeria kumbe yanafanywa na wahindu?achilia mbali makundi ya kigaidi yanao ua na kutesa watu kila uchwao.

Pemba waliandamana kupinga ujenzi wa kanisa..give us a break mvaakobazi
 
Your browser is not able to display this video.
 
Utumbo mtupu. Wangeridhikaje na dini feki ya uislam sawa na ukristo?
 
Sio hekima,walisaidiwa na NATO kumtoa Assad hawanabudi kufanya Yale yote wanayofanya waliowasaidia mpk ushoga wataruhusu Subiri uone
Ushoga ni matakwa ya mtu binafsi wala usiisingizie serikali unataka kusema hapo ulipo serikali ikisema ushoga ni ruksa nawe utafanya ushoga? Bilashaka ni hapana, ni mpaka uwe na chembechembe za ushoga ndipo utafanya ushoga.
 
Wasyria ni moja watu wa kwanza kwanza kabisa duniani kuupokea Ukristo. Walikuwa wakkristo kabla hata ya Waroma wa Roma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…