'System' ya Tanzania ingekuwa Imara kwa Dharau na Matusi ambayo Tapeli wa Kiimani Kiboko ya Wachawi anatufanyia Watanzania hivi sasa angekuwa Historia

Wenye Akili tukisema kuwa 'System' ya sasa ina tatizo mahala ( japo wapo baadhi nawaheshimu huko wanajua ) mnaona tunawadharau au labda tuna Chuki nao.
Kwenye ukweli lazima waambiwe na wakubali kujirekebishe ila suala la huyu jamaa system imewekwa uchi, na inaonekana walianza kutambua kama jamaa tapeli nahisi baada ya mtu wao kutapeliwa.
 
Dharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame au hapa Uganda kwa Museveni au Israeli kwa Netanyahu hivi sasa angeshakuwa Historia duniani. Nasisitiza tena angeshakuwa Historia duniani kwani hawa Viongozi niliowataja hapa hawana Uvumilivu na Masihara na Wapumbavu kama Yeye na ndiyo maana Nawapenda mno kuliko Mzembe na Mnafiki Mmoja mnywa Wines za Canada na Ufaransa.
Wajinga wajinga wamepigwa kindezi 😂😂😂😂😂
 
Attachments

  • Video_uD83D_uDC47_https___t.co_AoBTLqhyzt.mp4
    745.8 KB
  • Screenshot_20240827-230438.png
    Screenshot_20240827-230438.png
    378.7 KB · Views: 1
Wapo busy na chadema!

Tangu lini watu wanaopewa nafasi kwa kuwa wanachama wa CCM wakasimamia maslahi ya Taifa.

Wapo pale kwa ajili ya kumega keki ya taifa huku wakilinda dude lilohifadhi pango la walanguzi.
Nakubaliana nawe 100% Mkuu.
 
Dharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame au hapa Uganda kwa Museveni au Israeli kwa Netanyahu hivi sasa angeshakuwa Historia duniani. Nasisitiza tena angeshakuwa Historia duniani kwani hawa Viongozi niliowataja hapa hawana Uvumilivu na Masihara na Wapumbavu kama Yeye na ndiyo maana Nawapenda mno kuliko Mzembe na Mnafiki Mmoja mnywa Wines za Canada na Ufaransa.
Hivi huyo aliyewaibia Wapumbavu kwa upumbavu wao, jee aliingia mkataba na "system" yetu? Kama aliingia mkataba na system halafu akaibia wapumbavu kwa upumbavu wao basi lazima system iwajibike kwa kumshughulia.
 
Jamaa anatukana sanaa,ina maana sie watanzania ni wajinga kiasi hiki?
Ni mara ngapi tumeonya humu kuhusu hawa wanaojiita watumishi wa Mungu?
Nadhani hiyo Clip uliyoiangalia Wewe ni moja au ni fupi Mkuu ila ipo nyingine Katutukana Tusi Kubwa na Kidole cha Kati. Itafute.
 
Dharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame au hapa Uganda kwa Museveni au Israeli kwa Netanyahu hivi sasa angeshakuwa Historia duniani. Nasisitiza tena angeshakuwa Historia duniani kwani hawa Viongozi niliowataja hapa hawana Uvumilivu na Masihara na Wapumbavu kama Yeye na ndiyo maana Nawapenda mno kuliko Mzembe na Mnafiki Mmoja mnywa Wines za Canada na Ufaransa.
System wanawaza kula kula vitumbua tu
 
Back
Top Bottom