Mtani comment ya jamaa inafurahisha sanaMtani yaani Nimecheka mpaka basi...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani comment ya jamaa inafurahisha sanaMtani yaani Nimecheka mpaka basi...!!
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.Nimeona video jamaa linatukana kabisa eti watanzania ni wapumbavu sana... nimezimiss laki tano tano zenu.
Nimependa sana hapo uliposema......Waafrika hasa Watanzania wana Upumbavu wa Milele.....kwani umesema Ukweli.Kwanza kuwaita wajinga ni kuwapa hadhi sana.
Maana mjinga akielimishwa, huelimika na kujifunza.
Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
😂😂😂😂Sidhani ila kama walifanya hivyo basi nitaongeza Kiwango changu cha Kuwadharau japo wapo huko nisiowadharau.
Nakubaliana nawe 100% Mkuu.Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Hela alibaki anatoa mke wake, na zilikua Kwa jina la mkeNitawalaumu alitoka vipi nchini na pesa wameshindwa kuzi block bank? Ila naimani akirudi kesi ya utakatishaji inamuhusu mkuu.
Eti kamiss laki tanotano zenu watanzania wendawazimu😂😂😂😂Kuna Clip nyingine nimeiona Katutukana Watanzania wote Bonge la Tusi yaani mpaka natamani Mama yenu nae aisikie.
Hivi Rais Samia Suluhu Hassan nae si Mtanzania? Kama ni Mtanzania basi nae ajue kuwa Katukanwa na Kiboko ya Wachawi.Nimeona video jamaa linatukana kabisa eti watanzania ni wapumbavu sana... nimezimiss laki tano tano zenu.
Kwenye ukweli lazima waambiwe na wakubali kujirekebishe ila suala la huyu jamaa system imewekwa uchi, na inaonekana walianza kutambua kama jamaa tapeli nahisi baada ya mtu wao kutapeliwa.Wenye Akili tukisema kuwa 'System' ya sasa ina tatizo mahala ( japo wapo baadhi nawaheshimu huko wanajua ) mnaona tunawadharau au labda tuna Chuki nao.
Wajinga wajinga wamepigwa kindezi 😂😂😂😂😂Dharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame au hapa Uganda kwa Museveni au Israeli kwa Netanyahu hivi sasa angeshakuwa Historia duniani. Nasisitiza tena angeshakuwa Historia duniani kwani hawa Viongozi niliowataja hapa hawana Uvumilivu na Masihara na Wapumbavu kama Yeye na ndiyo maana Nawapenda mno kuliko Mzembe na Mnafiki Mmoja mnywa Wines za Canada na Ufaransa.
Duh! Mke wake ni mkongo pia? Hata hivyo system lazima wangedili na mke wake aseme chanzo cha kipato chake na kama analipa kodi.Hela alibaki anatoa mke wake, na zilikua Kwa jina la mke
Nikwambie kitu mkuu? Jamaa alitengenezwa kwa sababu maalumu, muda maalumu na kazi maalumu! Mission accomplished.Sidhani ila kama walifanya hivyo basi nitaongeza Kiwango changu cha Kuwadharau japo wapo huko nisiowadharau.
Nakubaliana nawe 100% Mkuu.Wapo busy na chadema!
Tangu lini watu wanaopewa nafasi kwa kuwa wanachama wa CCM wakasimamia maslahi ya Taifa.
Wapo pale kwa ajili ya kumega keki ya taifa huku wakilinda dude lilohifadhi pango la walanguzi.
Hivi huyo aliyewaibia Wapumbavu kwa upumbavu wao, jee aliingia mkataba na "system" yetu? Kama aliingia mkataba na system halafu akaibia wapumbavu kwa upumbavu wao basi lazima system iwajibike kwa kumshughulia.Dharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame au hapa Uganda kwa Museveni au Israeli kwa Netanyahu hivi sasa angeshakuwa Historia duniani. Nasisitiza tena angeshakuwa Historia duniani kwani hawa Viongozi niliowataja hapa hawana Uvumilivu na Masihara na Wapumbavu kama Yeye na ndiyo maana Nawapenda mno kuliko Mzembe na Mnafiki Mmoja mnywa Wines za Canada na Ufaransa.
Kwahiyo anavyotutukana Watanzania Wapumbavu na Rais Samia nae kamjumuisha au Yeye siyo Mtanzania Mwenzetu?Nikwambie kitu mkuu? Jamaa alitengenezwa kwa sababu maalumu, muda maalumu na kazi maalumu! Mission accomplished.
Nadhani hiyo Clip uliyoiangalia Wewe ni moja au ni fupi Mkuu ila ipo nyingine Katutukana Tusi Kubwa na Kidole cha Kati. Itafute.Jamaa anatukana sanaa,ina maana sie watanzania ni wajinga kiasi hiki?
Ni mara ngapi tumeonya humu kuhusu hawa wanaojiita watumishi wa Mungu?
System wanawaza kula kula vitumbua tuDharau ambazo anazifanya kwa Watanzania na hata Kututukana Matusi kwa Makosa ya Wapumbavu kadhaa wa Kiimani kumuamini na kwenda Kanisani Kwake GENTAMYCINE nina uhakika angeifanya Rwanda kwa Kagame au hapa Uganda kwa Museveni au Israeli kwa Netanyahu hivi sasa angeshakuwa Historia duniani. Nasisitiza tena angeshakuwa Historia duniani kwani hawa Viongozi niliowataja hapa hawana Uvumilivu na Masihara na Wapumbavu kama Yeye na ndiyo maana Nawapenda mno kuliko Mzembe na Mnafiki Mmoja mnywa Wines za Canada na Ufaransa.