To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣 Kageuza🙌Mkuu nimecheka mpaka basi.....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Kageuza🙌Mkuu nimecheka mpaka basi.....!!
Si walijifanya Kunipuuza GENTAMYCINE wakisahau kuwa nina Karama Kubwa ambayo wengi wao huko System hawana.Halafu uliandika hapa jamaa anatoroka , hivi ule Uzi hawakuuona?
Mke wake mpareDuh! Mke wake ni mkongo pia? Hata hivyo system lazima wangedili na mke wake aseme chanzo cha kipato chake na kama analipa kodi.
Na kuhangaika na CHADEMA na Wakosoaji wa Boss wao Kikatiba.System wanawaza kula kula vitumbua tu
Na ndiyo maana nampenda mno Rais wa Rwanda Paul Kagame kwani huwa hana muda wa Kulea Wapumbavu Kwake.Angekua kwa mzee kagame uyu alikua marehemu
Ukiacha udhaifu wa serikali tatizo kubwa zaidi lipo kwa wanaomuamini.Jamaa hakupaswa kuachuliwa kirahisi alitakiwa awe ananyea debe
Ameongea ukweli usio na uongo ndani yake, n kweli Watanzania ni wapumbavu.Nimeona video jamaa linatukana kabisa eti watanzania ni wapumbavu sana... nimezimiss laki tano tano zenu.
Arudi Bongo aendelee kuwanyoosha 😂😂Mkewe alikuwa analia akiomba msaada mumewe asamehewe na arudishwe bongo wana watoto wadogo.
Nyumbu mmejaa bongo.Arudi Bongo aendelee kuwanyoosha 😂😂
Acha kujidanganya mkuu, jamaa aliona fursa kutokana na upumbavu wa watanzania na akaamua kuifanyia biashara na imemlipa.Nikwambie kitu mkuu? Jamaa alitengenezwa kwa sababu maalumu, muda maalumu na kazi maalumu! Mission accomplished.
😂 Biashara ya upumbavu wa watanzania haijawahi kumpa hasara muwekezaji 🙌Kiboko ya wachawi
Kabla ya kupiga laki tanotano za watanzania na kuanza kujikoboa
😂😂😂😂