'System' ya Tanzania ingekuwa Imara kwa Dharau na Matusi ambayo Tapeli wa Kiimani Kiboko ya Wachawi anatufanyia Watanzania hivi sasa angekuwa Historia

'System' ya Tanzania ingekuwa Imara kwa Dharau na Matusi ambayo Tapeli wa Kiimani Kiboko ya Wachawi anatufanyia Watanzania hivi sasa angekuwa Historia

Mimi nimefurahi sana na nmemuunga mkono kiboko wa wachawi, watanzania wnyw ndio hamna akili na bado kuna matapeli wengine wapo humu nchini na wanaendelea kuwanyoosha watanzania wapumbavu ila baada ya kupigwa na kitu kivito ndio mnakuja kulialia hapa.

Safi sana, kiboko wa wachawi uliifanya kazi yako vzr.
 
Usiingize system kwenye vitu visivyohitaji nguvu ya system. Wapuuzi waliingia wenyewe kwenye mkenge wa huyo jamaa wakawa wanaambiwa hawaelewi. Hata serikali ilipochukua walidiriki kuandamana kulaani hatua hiyo.

Huyo tapeli anawakejeli wajinga aliowapiga, serikali hatua ilizochukua zinatosha tayari.
 
Kwahiyo huyo muuaji au hao wauwaji mnaowasifia wakishamuua huyo mtu anayewakera wao wanafaidika nini? Kumbukeni kuna mbuzi mlikuwa mkiisifia kwa tabia hiyo matokeo yake na yenyewe ikaenda hukohuko na sijui ikiulizwa uwa ina jibu nini!
 
Nikwambie kitu mkuu? Jamaa alitengenezwa kwa sababu maalumu, muda maalumu na kazi maalumu! Mission accomplished.
Acha kujidanganya mkuu, jamaa aliona fursa kutokana na upumbavu wa watanzania na akaamua kuifanyia biashara na imemlipa.
Hakuna cha system wala nini, Wabongo tumejaa upumbavu sana kwenye masuala ya dini na hapo mshukuru hajasema alikuwa anawapataje wale waliokuwa wanakuja kutoa ushuhuda kanisani kwake.

Kwenye hili nampongeza sana mana amepata faida, acha aendelee kutuona wapumbavu mana huo ndio ukweli.
 
Kiboko ya wachawi
Kabla ya kupiga laki tanotano za watanzania na kuanza kujikoboa
😂😂😂😂
 

Attachments

  • Screenshot_20240831-174608.jpg
    Screenshot_20240831-174608.jpg
    529.7 KB · Views: 2
  • 1725115653587.jpg
    1725115653587.jpg
    442.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom