Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Puuzi kweli yule mamalia yaani anaongea tu ili mradi tu kutimiza wajibu.Msamaheni!!!jamani kaah!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafanyaje?[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko Dar mnaoga kila saa?Ngoja nkaoge sasaa!!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Puuzi kweli yule mamalia yaani anaongea tu ili mradi tu kutimiza wajibu.
Mfano maongezi yake na Ruby kuhusu kuwa mjamzito, mara leta nikushikie hela mara nenda unywe maji, mara mtoto atakuwa wa kiume.
Upuuzi gani huu anafanya humo ukumbini. Haangalii humo wamo wakina nani yeye ni kuongea kama kasuku dume.
Kapuuzi kweli hako ka mamalia.
Huku kwetu ukienda kuoga sasa hivi watasema unawanga.
Mboso hajui kushika mic
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Hahahaha kafunikwa na RubyMboso hajui kushika mic
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
what!!! upo wapi nikuone
Yani amalize anaboaa kama Spika mbovuMbosso ovyo sana, ndio nini sasa! Live performance haiwezi kwa kweli [emoji848][emoji848][emoji848][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtuwekee na tupicha basi tuwaone hao wasanii na sisi tuliopo nanjilinji tujionee
Wa mjini mnafaidi jamani
SanaRuby anajua mpaka anakera
I'm the girl from nowhere,... the one no one will miss .... that's why they choose me...[emoji97]
Live band anaiweza christian Bella tu hapa bongo hawa wengine unga unga mwanaMbosso ovyo sana, ndio nini sasa! Live performance haiwezi kwa kweli [emoji848][emoji848][emoji848][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha naona ukumbi watu kimya no shamrashamra ka za RubyLive band anaiweza christian Bella tu hapa bongo hawa wengine unga unga mwana