SZIFF 2019: Wadau wachukizwa na watoto kupewa tuzo za mwigizaji bora wa kike na kiume

Wanasema eti Wakajibebe
 
Kamweneee[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaa!!yaani wamechemka Azam bora mwaka Jana aseeeh!!ni charity kabisaa...sio kwa upuuzi ile

Yaani Azam Jana ilikua kituko

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli watu wengi walioenda jana hawatizami picha za kibongo sasa hatuna vigezo vya kusema hii picha ni bora au huyu actor bora jana imekuwa ni kama watu kwenda kusikiliza tu. event ni kubwa kuliko movies zenyewe bora Azam wakafanya music awards sababu ni rahisi kujuwa ubora. halafu show inaenda 6 hours sijui ya nini, two or 3 hours ila imeshiba burudani. Azam mbona ni rahisi tu kucopy events zingine hata hilo gumu kwenu. burudani inaendelea watu wanapanda tu jukwaani kutunza wengine waonekane vitu vidogo lakini vinatoa ukubwa wa show, utasema tuko kumbi za taarab. mbona wako watu special wakuandaa hivi vitu hata kama hatuna hapa nchi jirani utapata tu.
 
Wengine tulikuwa tunafatilia toka mwanzo. Mkoa kwa mkoa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseeee
Ahahah Sasa sijui alikua anamrusha roho nani yan alipania mwenyewe halafu akakwama na sura yake kama nguchiro mxiww


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
wale watoto walitakiwa wawe kwenye category ya upcoming artists ila kwa jana wamechemka azam
 
Nimesoma uwepo wa IRANs INDIANs hao nao walifika kuchukua tuzo zao au walituma watu ama Tuzo za hewani?
 
Wakuu nilichoweza kuwaelewa Azam Tv juu ya hizi tuzo ni kwamba, wanatoa tuzo kwa filamu selected ambazo kwanza umiliki wake ni 100% upo chini ya wasanii husika. Wengi wa mastaa wa bongo movie hawana umiliki wa movie zao, wanaishia kucheza na kulipwa pesa basi. Sasa hawa Azam Tv ikifika msimu wa tuzo huwa kuna movies selected (kigezo nimekieleza hapo juu) wanakuwa wanazionesha mara kwa mara na kutaka watazamaji kuzipigia kura kwa categories tofauti tofauti.
Kwa upande mmoja wapo sahihi kwasababu wanawaamsha hawa mastaa wanaolalamika nao waanze kumiliki movies zao, lakini ninawashauri Azam Tv waboreshe vigezo vyao kwani kwa hali halisi ya sasa ya soko la filamu, ni ngumu sana wasanii wetu kumiliki movie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…