Kumbe shida ni kupiga kura, kura ngapi zinapigwa halafu zinachakachuliwa,,, wewe mwenyewe maswali yangu kushindwa kuyajibu kunatia shaka kwamba wengine wengi walioshindwa kujibu kama wewe watawezaje kuwapigia kura watu wasiofahamika?? mtu kama Gabo , Monalisa, Johari , Wema wana Fan base kubwa sana kuliko wale watoto kana kwamba hata nusu tu wakipiga kura wanawazidi wale watoto
Pia nisije nikawa napeana challenge na mhehe maana hawezi kubali kua they don't deserve.
Sent using
Jamii Forums mobile app