Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Habari za jioni wapendwa wana jf !!!!Leo ndo kilele cha usiku wa tuzo za films zinazofanyika na kuonyeshwa live Kupitia Azam TV ambalo ni mwaka wa pili tangu kuanzishwa kwake hapa nchini kwetu...!!
Kuna filamu mbalimbali zinashindanishwa kutoka kwa wasanii wetu hapa Tanzania na pia wasanii wanashindana katika vipengele tofauti tofauti.
Naona mambo yameanza kwa show. Mubashara!!
Picha iliyotrend kuliko zote ya zulia jekundu ni ya mwanadada Tausi Mdegela.😃
Ni vya kwetu hata kama vibaya hatuna namnaaa!!! Karibuni nyote wadau!!!
Kwenye mitandao ya kijamii kumekuwa na malalamiko ya tukio kupooza na washereheshaji kudaiwa 'kuboa'.
==========
WASHINDI
Muziki Bora wa Filamu Fupi - Sisi na Wao
Muziki Bora World Cinema - The Silent Revolution ya Ujerumani
Muziki Bora wa Filamu Ndefu - Dema (Khatwab Khamis)
Mpigapicha Bora katika Filamu Fupi - Tamaa (Adam Juma)
Mpigapicha Bora World Cinema - Fatuma ya Tanzania
Mpigapicha Bora Filamu Ndefu - T- Junction (Lister Millado)
Mhariri bora wa Filamu Fupi - Tamaa (Ibrahim Jabir)
Mhariri Bora World Cinema - Sasha was Here ya Estonia
Mwandishi Bora wa Muswada(Screenplay) Filamu Fupi - Supa Mama (Christina Pande)
Mwandishi Bora wa Muswada World Cinema - Golnesa (Vida Salehi)
Mwandishi Bora wa Muswada Filamu Ndefu - Petu na Garu (Sylone Malalo)
Mchekeshaji Bora Filamu ndefu - Mama Mwali (Madebe Lidai)
Muigizaji Bora wa Kike World Cinema - Leena Alam wa Afghanistan na Myra Vishwakarma wa India
Makala bora - Amka (Adam Juma)
Filamu Bora katika Filamu Fupi - Supa Mama
Tuzo ya mtu aliyetukuka katika Tasnia ya Filamu - King Majuto
Mhariri Bora wa Filamu Ndefu - Petu na Garu(John Kallaghe) & T-Junction (Kelvin Mpeta)
Filamu zilizofanya vizuri katika mikoa husika
Mwanza: Laana ya Mke
Morogoro: Mchumia
Mtwara: Unga Unga Mwana
Mbeya: Kidato
Lindi: Dume Jinga
Arusha: Akisha
Filamu Bora yenye maudhui ya kitaifa - Siyabonga (Salim Ahmed a.k.a Gabo Zigamba)
Muongozaji Bora wa Filamu Fupi - Tamaa
Muongozaji Bora World Cinema - EE.MA.YU wa India na Golnesa ya Iran
Muongozaji Bora wa Filamu ndefu - T-Junction (Amil Shivji)
Tamthilia Bora - Safari Yangu (Ester Mdeme)
Muigizaji Bora wa Kike "People's Choice Award" - Flora Patience Kihombo (Kesho)
Muigizaji Bora wa Kiume "People's Choice Award" - Rashid Msigala (Kesho)
Filamu Bora World Cinema - Pihu ya India
===========
Lawama tani kadhaa zimerushwa kwa Azam TV kwa kuwapa watoto tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike na wa Kiume. Wananzengo wanalalama kuwa watoto hao hawawezi kulinganishwa na Gabo Zigamba wala kipenzi chao Wema Sepetu.
Wanatishia kutoangalia tena huku swali kuu likiwa "hizi ni tuzo au charity?"
Sent using Jamii Forums mobile app