qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Mi napenda majibu yakeee tu kwa michambo hajamboo uliisikiaga ile anamjibu sporah weee TID ana majibuu ya ukweliii
Arosto ya unga unaweza kuwa Choko hivi hivi,,mambo gani mtu unanyatia hadi nguo zako mwenyewe ulizoanika!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Mi napenda majibu yakeee tu kwa michambo hajamboo uliisikiaga ile anamjibu sporah weee TID ana majibuu ya ukweliii
Eeh ebu nipe umbea alimjibuje? Nyie TID mtambo kiama
maskini TID...rayc ana nia nzuri ila kumtafuta kwenye IG ndo kosa lake lilipoanzia
Mmh mwenzangu ray c kamsifia mwenyewe apate collabo matokeo yake kachambwa mmh aibu hii sijui ataipeleka wapi
Arosto ya unga unaweza kuwa Choko hivi hivi,,mambo gani mtu unanyatia hadi nguo zako mwenyewe ulizoanika!
Haahahaha eti unanyatia hadi nguo zako ulizoanika. Sembe ni nomaaaa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mmh mwenzangu ray c kamsifia mwenyewe apate collabo matokeo yake kachambwa mmh aibu hii sijui ataipeleka wapi
Hahahaa hii kali unaweza kuta unajiibia simu yako mwenyewe lol
Kamuwezaaa yaan nimecheka kweliiii hapa nilipo ungeniona binamu balaaaa
Ye angemtafuta huko sio kwenye ma inst yao,si angempigia tuu hata simu, kujionyeshaa kumemponzaaaa
Kamuwezaaa yaan nimecheka kweliiii hapa nilipo ungeniona binamu balaaaa
Wewe hujacheka binamu, mimi nimecheka had ute ukatoka kwa babu, yani TID huyu mwenzie kamsifia mwenyew ye anampa vichambo halafu hajambakisha hata kidogo mweeh, ila wamekutana wote akili za bhang
Yeye si katafuta sifa kwan hawezi kusaidia kimyakimya matokeo yenyewe hayo kayapata hivi anamjua tid au anamsikia.