Taa nyekundu ikikuwakia, simama, kuendelea na safari ni kujitakia kifo

We huyu hujamuamulia mi yule mshamba wa mapenzi alinipiga mkwara kwamba ananiuwa na yeye anakufa kwanza nikamtia polisi na kulikuwa bro wangu siku ya kutoka akampiga mkwara kwamba story zako tunazo umempa mwanamke ulemavu huko kwenu kigoma,Ila kwa huyu sister utanijua mimi ukimgusa.
 
Nilimwambia mtu akaenda kumuonya akapunguza pia hatuonani kabisa japo kupiga simu hajaacha anaweza Kaa hata miez 6
Ni muda Sasa toka tuachane miaka Kam 6 hiv
 
Mm nilikuwa mbishi my dear ngoja nipike kwanza nakuja nisimulie huku nalia nikiwa nimeshiba [emoji23][emoji23]
Kimekulambaaa shangaziii! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbee eeh nilikua niko na shetan face to face

Guess what? Anakuja kuniomba mim msaada amejisahaulisha anajitoa ufaham na mim narudisha faham zake Kwa kumkumbusha na kumtimua[emoji51]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] safii sanaa
 
Para ya mwisho, nimecheka sanaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ubishi na wivu wa kipumbavu nilitoka πŸƒπŸ½β€β™€οΈBaada ya kupata story yake huko kwao kigoma aliwahi kumkata mpenzi wake mkono nikasema toba roho yangu.
Umekimbia uchiba with intention to make one in future 🀣🀣🀣
 
Shangaziii kweli ulizamaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeee
 
Aseie, mami alikuwa anakupa nini kwani πŸ˜… ?
 
Aseie, mami alikuwa anakupa nini kwani πŸ˜… ?
Hakuna hataa Cha maana upuuzi sema mwanzo alikuwa ananijali sana Yan balaa kunibembeleza sasa had magot alkuwaa ananipigia na mm nilikuwa namkataaa nilivompenda akakengeuka πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…