[emoji16][emoji16][emoji16][emoji849][emoji28][emoji1787][emoji1787] nimecheka asubuhi hii
Ngoja mida ya lunch time hapa ofisini, nipige picha dashboard ya gari la rafiki yangu niwatumie mcheke mpunguze stress
Yaan Kuna siku mpaka traffic alimuuliza hivi unawezaje kuendesha gari la namna hii
Mataa double double kama yote[emoji28]: ABS, CHECK ENGINE LIGHT, LOW FUEL INDICATOR, BATTERY ALERT, OIL PRESSURE LIGHT,TRACTION CONTROL LIGHT n.k
Mwenyewe Hana hata pressure, yaan mi nachekaga Sana, wanaume mna moyo[emoji16]