Taa yoyote nyekundu kwenye dashboard ya gari yako siyo ya kuipuuza

Umekosea Mkuu taa ya check engine sio ya kupuuzia hata kidogo tena ni Bora ulipaki Kwanza Hilo gari kuliko kuendesha huwezi jua ni nini kinazidi kufa hasa ndani ya engine....
Sikuzote gari linahitaji nidhamu ili uweze kudumu nalo

Mkuu ninachokifahamu ni kwamba taa ya check engine huwa ina cases mbili kama ifuatavyo.

1. Taa kuwaka steady. Yaani inawaka tu imetulia au haichezichezi. Hapa mtu anaweza kuendesha gari yake vizuri tu bila shida.

2. Taa kuwaka kwa kublink(kuwaka na kuzima)/ Au kwenye magari mengine unakuta check engine nyekundu. Ukiona taa inablink au nyekundu hapo kweli tatizo ni kubwa au ni issue ambayo inahitaji kutatuliwa haraka.
 
Duuuh, nimeogopa
Na mbaya zaidi tatizo moja husababisha matatizo mengine kutokea.

Niliwahi kuwa na hilo tatizo la taa ya check engine. Nikaidharau.

Gari ikaanza kunywa mafuta kuliko kawaida, gari ikaanza kuoverheat, radiator top cover ikapasuka, silencer ikapanda juu na gari ikakosa nguvu kabisa.

Hizo taa usizichukulie poa, tatizo la kutibu kwa 100k unakuja tibu matatizo 6 kwa 800K. Ndo yalonikuta mimi.
 
Kama ubora kwa maana ya durability, sawa!

Ila kama ni safety basi mzungu yuko juu.

Ukiangalia safety rating gari nyingi za mzungu zimepewa 5 star wakati za mjapani nyingi ni 1 star mlaka 3 star.
Safety features ni expensive kuziweka.

Gari ya mjapan inayoenda EU au US ni gharama sana kuliko hata za huyo mzungu kwasababu ya kuweka features kama za huyo mzungu.
 
Na mbaya zaidi tatizo moja husababisha matatizo mengine kutokea.

Niliwahi kuwa na hilo tatizo la taa ya check engine. Nikaidharau.

Gari ikaanza kunywa mafuta kuliko kawaida, gari ikaanza kuoverheat, radiator top cover ikapasuka, silencer ikapanda juu na gari ikakosa nguvu kabisa.

Hizo taa usizichukulie poa, tatizo la kutibu kwa 100k unakuja tibu matatizo 6 kwa 800K. Ndo yalonikuta mimi.
Huwezi amini nimelipaki now now, siku naenda kwa fundi ndo ntaligusa mweeh

Nimeogopa

Asante Mkuu kwa hili dokezo
 
Mkuu ninachokifahamu ni kwamba taa ya check engine huwa ina cases mbili kama ifuatavyo.

1. Taa kuwaka steady. Yaani inawaka tu imetulia au haichezichezi. Hapa mtu anaweza kuendesha gari yake vizuri tu bila shida.

2. Taa kuwaka kwa kublink(kuwaka na kuzima)/ Au kwenye magari mengine unakuta check engine nyekundu. Ukiona taa inablink au nyekundu hapo kweli tatizo ni kubwa au ni issue ambayo inahitaji kutatuliwa haraka.
Haki moyo umerudi upyaaa[emoji122]

Hii yangu ni njano na haiblink

But siliendeshi tena hadi niende jwa fundi
 
Aaha si unajua tupo ugenini na wasouth africa wana mambo mengi ya ajabu,kuanzia polisi mpaka raia wa kawaida,na mimi nilileta familia uku mke na watoto sasa naona kama mazingirs hayatowafaa hasa watoto ktk makuzi,na unajua hii nchi uhalifu upo juu sana.

Sasa tumekaa tumewaza na bibie tukaona tujipange kidogo then turudi tu home tufungue banda la kuuza nyanya,maisha yaendelee
 
Na je gari kamaa hii .uko kwetu haitonisumbua maana najua kwetu mjapan katawala ,au niuze tuu huku then nije kutafuta tu ka usafiri uko uko kwetu?
Screenshot_20200729-084716-1.jpg
 
Aaha si unajua tupo ugenini na wasouth africa wana mambo mengi ya ajabu,kuanzia polisi mpaka raia wa kawaida,na mimi nilileta familia uku mke na watoto sasa naona kama mazingirs hayatowafaa hasa watoto ktk makuzi,na unajua hii nchi uhalifu upo juu sana.

Sasa tumekaa tumewaza na bibie tukaona tujipange kidogo then turudi tu home tufungue banda la kuuza nyanya,maisha yaendelee
Hapo sawa mkuu Bora urudi tu, familia kwanza

Wasouth wana tabia gani mbofumbofu?
 
Mkuu ninachokifahamu ni kwamba taa ya check engine huwa ina cases mbili kama ifuatavyo.

1. Taa kuwaka steady. Yaani inawaka tu imetulia au haichezichezi. Hapa mtu anaweza kuendesha gari yake vizuri tu bila shida.

2. Taa kuwaka kwa kublink(kuwaka na kuzima)/ Au kwenye magari mengine unakuta check engine nyekundu. Ukiona taa inablink au nyekundu hapo kweli tatizo ni kubwa au ni issue ambayo inahitaji kutatuliwa haraka.
Waswahili Wana msemo "wasiwasi ndiyo akili" Kama Mimi nikiona sign yeyote Kwenye gari lazima niende Kwa fundi immediately kwasabb sijui mambo ya ufundi kiundani zaidi pia Kwa mtu ambaye Hana uzoefu wa kutosha wa Magari ni Bora akimbilie Kwa fundi baada ya kugundua hitilafu
 
Gari yangu iliwaka taa ya airbag baada tu ya kufunga GPRS

Hiyo GPS au GPRS?

Anyway. Huo mfumo mliofunga umeme wake mmechukulia wapi? Na mmeifunga kwa wapi?

Maana watu wanachukuliaga tu umeme popote bila kujali huo umeme unaenda wapi.
 
Back
Top Bottom