ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,096
- 2,287
Ipo pia kwenye magari yenye injini za kisasa kama vvti?Ni throttle body.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo pia kwenye magari yenye injini za kisasa kama vvti?Ni throttle body.
Umekosea Mkuu taa ya check engine sio ya kupuuzia hata kidogo tena ni Bora ulipaki Kwanza Hilo gari kuliko kuendesha huwezi jua ni nini kinazidi kufa hasa ndani ya engine....
Sikuzote gari linahitaji nidhamu ili uweze kudumu nalo
Ipo pia kwenye magari yenye injini za kisasa kama vvti?
Badili fundi.Nina tatizo kama hili, tatizo fundi wangu anapenda sana hela, hata kama tatizo dogo,naendelea kumute kwanza.. naendelea kudrive hivyo hivyo nikisaka hela, inaweza niletea shida mkuu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna watu dashboard inawaka mataa kama disco lights.
Na mbaya zaidi tatizo moja husababisha matatizo mengine kutokea.Duuuh, nimeogopa
Safety features ni expensive kuziweka.Kama ubora kwa maana ya durability, sawa!
Ila kama ni safety basi mzungu yuko juu.
Ukiangalia safety rating gari nyingi za mzungu zimepewa 5 star wakati za mjapani nyingi ni 1 star mlaka 3 star.
Huwezi amini nimelipaki now now, siku naenda kwa fundi ndo ntaligusa mweehNa mbaya zaidi tatizo moja husababisha matatizo mengine kutokea.
Niliwahi kuwa na hilo tatizo la taa ya check engine. Nikaidharau.
Gari ikaanza kunywa mafuta kuliko kawaida, gari ikaanza kuoverheat, radiator top cover ikapasuka, silencer ikapanda juu na gari ikakosa nguvu kabisa.
Hizo taa usizichukulie poa, tatizo la kutibu kwa 100k unakuja tibu matatizo 6 kwa 800K. Ndo yalonikuta mimi.
Kumpata mpya Sasa mkuuBadili fundi.
Haki moyo umerudi upyaaa[emoji122]Mkuu ninachokifahamu ni kwamba taa ya check engine huwa ina cases mbili kama ifuatavyo.
1. Taa kuwaka steady. Yaani inawaka tu imetulia au haichezichezi. Hapa mtu anaweza kuendesha gari yake vizuri tu bila shida.
2. Taa kuwaka kwa kublink(kuwaka na kuzima)/ Au kwenye magari mengine unakuta check engine nyekundu. Ukiona taa inablink au nyekundu hapo kweli tatizo ni kubwa au ni issue ambayo inahitaji kutatuliwa haraka.
Mkuu huku hakufai..stress gani mfano?Mkuu mimi gari yangu inawaka taa ya abs muda sana zaidi ya mwaka.ina maana siku yyt tairi zinaweza kujilock?na nauliza tu spea za volvo zinapatikana uko nyumbani?
Maana nina wazo la kuja nalo uko .nishachoka na maisha ya stress ya south africa
Hapo sawa mkuu Bora urudi tu, familia kwanzaAaha si unajua tupo ugenini na wasouth africa wana mambo mengi ya ajabu,kuanzia polisi mpaka raia wa kawaida,na mimi nilileta familia uku mke na watoto sasa naona kama mazingirs hayatowafaa hasa watoto ktk makuzi,na unajua hii nchi uhalifu upo juu sana.
Sasa tumekaa tumewaza na bibie tukaona tujipange kidogo then turudi tu home tufungue banda la kuuza nyanya,maisha yaendelee
Ngoja wadau waje mkuuNa je gari kamaa hii .uko kwetu haitonisumbua maana najua kwetu mjapan katawala ,au niuze tuu huku then nije kutafuta tu ka usafiri uko uko kwetu?View attachment 1520242
Waswahili Wana msemo "wasiwasi ndiyo akili" Kama Mimi nikiona sign yeyote Kwenye gari lazima niende Kwa fundi immediately kwasabb sijui mambo ya ufundi kiundani zaidi pia Kwa mtu ambaye Hana uzoefu wa kutosha wa Magari ni Bora akimbilie Kwa fundi baada ya kugundua hitilafuMkuu ninachokifahamu ni kwamba taa ya check engine huwa ina cases mbili kama ifuatavyo.
1. Taa kuwaka steady. Yaani inawaka tu imetulia au haichezichezi. Hapa mtu anaweza kuendesha gari yake vizuri tu bila shida.
2. Taa kuwaka kwa kublink(kuwaka na kuzima)/ Au kwenye magari mengine unakuta check engine nyekundu. Ukiona taa inablink au nyekundu hapo kweli tatizo ni kubwa au ni issue ambayo inahitaji kutatuliwa haraka.
Gari yangu iliwaka taa ya airbag baada tu ya kufunga GPRS