JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
- Thread starter
- #41
Mbona still watu wanakufa sasa, mbona haiwasaidii
Airbag siyo life assurance. Kusalimika au kufa inaweza kutegemea na vitu kadhaa mfano:-
1. Speed unayotembea na uzito wa mwili wako. Mfano kama una 60kg na unatembea kwa 50km/h unayo chance ya kusurvive bila jeraha au majeraha madogo ikiwa umegonga kitu ambacho kimesimama. Kama tukiongeza uzito na speed basi its a dufferent story.
2. Speed anayotembea uliyegongana naye.
3. Safety rating ya gari yako. Gari za mjapani nyingi ambazo watu wanaendesha mtaani unakuta zina airbag mbili tu, wakati za mzungu unakuta zina airbag hata 10. Je, hapo unategemea mtakuwa sawa?