Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Nilimpigia simu nikamjulisha akaniambia, we endelea kuendesha tu haina noma ukipata chance lilete...kumbe mwee sina hata mia[emoji86]Kwa sasa inaweza isiwe shida ila tatizo likiwa serious utajikuta tu unamtafuta fundi wewe mwenyewe.
Naingia mwezi sasa toka tatizo lianzeKwa sasa inaweza isiwe shida ila tatizo likiwa serious utajikuta tu unamtafuta fundi wewe mwenyewe.
Airbag ni puto linalojaa upepo ili kukukinga wewe Kama abiria au dereva was gari , pindi manapopata msukosuko was ajali
Mambo muhimu sana mjumbe watu wanajua kuwasha na kuondoka tuuu
Airbag ni puto linalojaa upepo ili kukukinga wewe Kama abiria au dereva was gari , pindi manapopata msukosuko was ajali
Majeruhi wa ajali za magari hutokea kutokana na kujibamiza kwenye kuta ,kioo au hata steraring, kwa sababu hiyo watengenezaji waliamua kuweka sensors ili Kama impact ni kubwa basi Kuna chemical reaction hutokea na airbags hujaa, kwa hiyo badala ya kichwa au kifua kujibamiza moja kwa moja , kitakutana na airbag hiyo na ndo usalama wenyewe
Hapo zamani hii feature ilikuwa ni optional lakini siku hizi ni standard feature
Duuh hapo sasa ndo shida, ujue ile kibinadamu ukishaona tatizo ndilo linakukaa kichwani, so mi naendesha naona kawaida but nina uwoga nahisi naharibu kitu, na nahisi kuna tofauti
Naingia mwezi sasa toka tatizo lianze
Mmmmh gear box?[emoji15][emoji15][emoji26]Okay... Yaani changamoto ya kuwaka check engine linaweza kuwa tatizo dogo tu kama air filter kuwa chafu lakini pia linaweza kuwa tatizo kubwa kama gearbox kwa upande wa automatic.
Ila relax tu... Kama kingekuwa ni kitu kinachohitaji attention basi ingekuwa taa nyekundu.
Liko kawaida sana, nilingia YouTube kucheck, danger signs & solution nikambulia patupuIngekuwa imeambatana na hali fulani wakati unaendesha hilo gari ningeweza kuguess shida iko wapi .
Mmmmh gear box?[emoji15][emoji15][emoji26]
Naomba Mungu aniepushie mbali mweeh, ndio maana naogopa kwenda kwa fundi[emoji26]
Liko kawaida sana, nilingia YouTube kucheck, danger signs & solution nikambulia patupu
Ngoja nitulie kwanza
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji849][emoji28][emoji1787][emoji1787] nimecheka asubuhi hiiKuna watu dashboard inawaka mataa kama disco lights.
Santee mkuu[emoji120]Usiwaze lkn maana mara nyingi huwa yanakuwa ni matatizo ya kawaida tu....
Kweli kabisa mkuuYaani hapo ndo kuna shida. Maana kuna matatizo zaidi ya 10 kwenye gari ambayo yanaweza kupelekea hiyo taa iwake. Ndio inakuwa rahisi zaidi kusolve endapo hiyo taa itawaka ikiwa imeambatana na hali fulani wakati wa uendeshaji.
Mbona still watu wanakufa Sasa, mbona hauwasaidii1. Huu ni mfumo wa usalama ambao umewekwa kwenye gari ili kukulinda inapotokea ajali. Lakini sharti kuu uwe umevaa seatbelt.
2. Nakosa maelezo mazuri ya kuelezea ni jinsi gani inafanya kazi. Ila inapotokea ajali kuna mfuko huwa unajaa hewa. Kwa hiyo kama kujibamiza utajibamiza kwenye huo mfuko.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji849][emoji28][emoji1787][emoji1787] nimecheka asubuhi hii
Ngoja mida ya lunch time hapa ofisini, nipige picha dashboard ya gari la rafiki yangu niwatumie mcheke mpunguze stress
Yaan Kuna siku mpaka traffic alimuuliza hivi unawezaje kuendesha gari la namna hii
Mataa double double kama yote[emoji28]: ABS, CHECK ENGINE LIGHT, LOW FUEL INDICATOR, BATTERY ALERT, OIL PRESSURE LIGHT,TRACTION CONTROL LIGHT n.k
Mwenyewe Hana hata pressure, yaan mi nachekaga Sana, wanaume mna moyo[emoji16]
Mtundu sana huyu jamaaHahahah... Huyo atakipata anachokitafuta siku siyo nyingi.