JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
- Thread starter
-
- #41
Mbona still watu wanakufa sasa, mbona haiwasaidii
Kweli kabisa mkuu
Wiki ijayo napaki kwanza mmh
Huyo muda si mrefu anaenda kulizima gari kwa kuchoma engine.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji849][emoji28][emoji1787][emoji1787] nimecheka asubuhi hii
Ngoja mida ya lunch time hapa ofisini, nipige picha dashboard ya gari la rafiki yangu niwatumie mcheke mpunguze stress...
Mtundu sana huyu jamaa
Huwa ananiambia " yaan Diana ukiliendekeza gari utashindwa kupumua, mi nachojua ni kukamata usukani tu"
Huwa nacheka balaa[emoji28][emoji28][emoji1787]
Ngoja nimuoneshe hii comment nowGari linataka hela. Kuna matatizo ambayo ni sensitive na huwezi acha kuyasolve. Mfano kama hiyo taa yake ya Oil pressure kuna siku tu atajikuta amekaanga engine yake halafu aingie gharama kubwa. Wakati kama angekagua mapema angeweza kukuta tu hata ni suala la kuongeza oil tu au angeweza kuta kuna sehemu inavuja wakaziba basi akawa amesave.
Duuuh, nimeogopaHuyo muda si mrefu anaenda kulizima gari kwa kuchoma engine.
Rafiki yangu ameua engine miezi mitatu iliyopita na gari lilizima pale foleni ya lugalo. Ameingia gharama kubadiri engine mpya kwa kudharau hizo taa
Yeah mkuu, two weeks from now ntakuwa niko vizuri inshallahKila la heri hope utapata solution soon.
Huyo muda si mrefu anaenda kulizima gari kwa kuchoma engine.
Rafiki yangu ameua engine miezi mitatu iliyopita na gari lilizima pale foleni ya lugalo. Ameingia gharama kubadiri engine mpya kwa kudharau hizo taa
Duuuh, ama kweliAirbag siyo life assurance. Kusalimika au kufa inaweza kutegemea na vitu kadhaa mfano:-
1. Speed unayotembea na uzito wa mwili wako. Mfano kama una 60kg na unatembea kwa 50km/h unayo chance ya kusurvive bila jeraha au majeraha madogo ikiwa umegonga kitu ambacho kimesimama. Kama tukiongeza uzito na speed basi its a dufferent story...
Duuuh, nimeogopa
Duuuh, ama kweli
Sema na siku zako zikifika lazima usepe
Hii sio caburetor ?Injection unamaanisha hii?
View attachment 1519882
But mjapan na mjerumani si ndio inaaminika wana vitu Bora duniani?Ni kweli. Japo kama mtu ana hela. Ni bora kununua tu brand za wazungu. Safety ni kubwa ukilinganisha na gari nyingi za mjapani.
Akili kubwaView attachment 1519523
View attachment 1519524
Asilimia kubwa ya magari huwa yanakuwa na warning lights(taa za tahadhari) za aina tatu. Aina hizi nitazitofautisha kulingana na rangi za hizo warning lights. Aina hizo ni kama ifuatavyo...
Hii sio caburetor ?
But mjapan na mjerumani si ndio inaaminika wana vitu Bora duniani?
Bei ya gari la mzungu ni noma, zote used zinaanza na $14,000
Usipime
Akili kubwa
Umekosea Mkuu taa ya check engine sio ya kupuuzia hata kidogo tena ni Bora ulipaki Kwanza Hilo gari kuliko kuendesha huwezi jua ni nini kinazidi kufa hasa ndani ya engine.Nina tatizo kama hili, tatizo fundi wangu anapenda sana hela, hata kama tatizo dogo,naendelea kumute kwanza.. naendelea kudrive hivyo hivyo nikisaka hela, inaweza niletea shida mkuu?
Ni kama hiyo mkuu, Fundi alisafisha na akabadilisha switch Fulani(nahisi ni sensor) nashukuru taa ya Check engine imekata haiwaki tenaInjection unamaanisha hii?
View attachment 1519882
Sante sana mkuu, napaki leo leoUmekosea Mkuu taa ya check engine sio ya kupuuzia hata kidogo tena ni Bora ulipaki Kwanza Hilo gari kuliko kuendesha huwezi jua ni nini kinazidi kufa hasa ndani ya engine....
Sikuzote gari linahitaji nidhamu ili uweze kudumu nalo