Kumbe nawe ni kama yeye. GalagabahoUnataka staha?Kaishi utawani.
Yaani huyu jamaa hana kabisa maadili ya taaluma yake. Vyeti vyote vya taluma yake vinapaswa kufutwa vyote alingane na mwenyekiti wake. Tena hata vyeti vyake vyote vya O level na A level vingalifutiliwa mbali ili alingane na akina Msukuma na Bajaji.Big brain gani anabwabwaja maneno ya ovyo yasiyo na staha.
Kamsikilize mwabukusi utaelewa staha gani anayohitaji mtu ambaye ni mwizi kama samiaBig brain gani anabwabwaja maneno ya ovyo yasiyo na staha.
Maadili popote pale hayawezi kuwa mbadala wa haki na uhuru wa kutoa maoni. Wanasheria ktk nchi jirani ya Kenya na popote ktk nchi za kidemokrasia wanatoa maoni yao na kuhutubia mikutano na hafla mbalimbali bila kubughudhiwa na mtu wala chombo chochote.Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.
Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.
Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lisu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo.
Inashangaza huyu Tundu Lisu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lisu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
Sio kufungiwa tu. Bali kufungwa jela ya kilimo huko sumbawanga ndaani ndani huko...nilidhani aliyeandaa mkataba wa Tz na Dp ndio anatakiwa kufungiwa uwakili, au hata kufutiwa shahada yake ya sheria. Lakini hawa wenzetu wanawaza vingine.
Ww utakuwa ni mzee lazima, na inaonekana umeathirika na siasa za kijamaa. Na huenda ni watu mlio katika sehemu za kufanya maamuzi katika nchi hii. Sehemu mkubwa mmekulia kwenye nidhamu za woga, kujipendekeza na zaidi unafiki. Vipimo vyenu sio tija ya mtu, bali ni muonekano wake binafsi.Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.
Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.
Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lisu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo.
Inashangaza huyu Tundu Lisu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lisu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
Maneno ya staha kwa majizi ya kura? Mnataka kutuonyesha viongozi wetu ni watu wa staha na kuheshimiwa wakati wanaingia madarakani kwa chaguzi za kihayawani? Mfano halisi, huyo waziri mkuu, wote tunajua ushenzi aliofanya ili kuendelea kuwa mbunge. Kisha mtu aliyepata madaraka kwa njia za kishenzi vile mnataka afanyiwe staha kisa na hicho cheo?Big brain gani anabwabwaja maneno ya ovyo yasiyo na staha.
Umezungumzia "Maadili", ya fani mbalimbali, lakini kwa bahati mbaya sana au kwa maksudi kabisa ukaacha maadili waliyo nayo majambazi, majizi, viongozi wenye uwezo wa kupeleka raia zao utumwani...n.k., n.k.,Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.
Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.
Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lisu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo.
Inashangaza huyu Tundu Lisu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lisu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
Hivi huyo jamaa 'Dr Akili' bado yupo hapa kwenye mada yake, au kaitelekeza?..nilidhani aliyeandaa mkataba wa Tz na Dp ndio anatakiwa kufungiwa uwakili, au hata kufutiwa shahada yake ya sheria. Lakini hawa wenzetu wanawaza vingine.
Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.
Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.
Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lisu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo.
Inashangaza huyu Tundu Lisu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lisu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
Haka kachawa kanawaona hao ndio wanasheria wabobezi, vichawa vingine ni visumbufu tu...nilidhani aliyeandaa mkataba wa Tz na Dp ndio anatakiwa kufungiwa uwakili, au hata kufutiwa shahada yake ya sheria. Lakini hawa wenzetu wanawaza vingine.
Kuzaliwa kwenye mkesha wa mwenge ni tatizoMaadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.
Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.
Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lissu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo.
Inashangaza huyu Tundu Lissu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lissu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
Naona ccm mkielimisha uzuri wa mkataba kifungu kwa kifungu,hiki ni kifungu namba ngapi kwenye mktaba mtoa elimu?Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.
Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.
Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lissu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo.
Inashangaza huyu Tundu Lissu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lissu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
Inawezekana uko sahihi. Wanaanza na wadogo wadogo kabla ya kubwa lao. Sasa hivi wanasubiri wakati wa kukaribia uchaguzi mkuu ndipo washughulike naye kama ambavyo serikali ya Amerika inavyofanya sasa kwa Trump.Kumalizana na kobe kunahitaji timing.
Itasaidia kulinda heshima ya taaluma (profession) ya wanasheria. Fikiria kama wanasheria wote nchini kwetu wakiwa na tabia kama ya Tundu Lisu nchi itakalika kweli? Si tutakuwa kama Kenya, vurugu kila siku na watu kupoteza uhai?..risasi hazijamnyamazisha Lissu.
..unadhani kumfutia uwakili itasaidia nini?
Lengo siyo kumkatia umeme unaompa riziki yake ya maisha. Lengo ni kuisafisha hii taaluma ya uwakili wa mahakama kuu yetu ambayo anaichafua na wengine wameanza kuiga uchafuzi huo. Apishe huku na aendelee kwenye hiyo taaluma ya siasa aliyoichagua, anayoipenda, anayoimudu na inayomwingizia kipato cha mamillioni ya dola kwa mwaka.Tundu Lissu keshakuwa mwanasiasa kwaio wanajua kumtolea uwakili sio dili maana inawezekana anapractise "rarely". Wanadhani Mwabukusi anakula kupitia uwakili kwaio wanataka kukata umeme.. Sasa wanaompenda Mwabukusi wampe kazi ya kisiasa basi watakuwa wamemfunga AG goli saba za mshindo
Ni kweli hawa nao wanapaswa kushughulikiwa ipasavyo. Kosa lao si la kukiuka maadili ya profession ya uanasheria. Kosa lao linaweza likawa ni incompetence (weledi mdogo), negligence au corruption. Makosa hayo hayashughulikiwi na Kamati ya Maadili ya Mawakili wa Mahakama Kuu. In fact makosa hayo ni makubwa zaidi kuliko haya yanayofanywa na Tundu Lisu na Mwabukusi...nilidhani aliyeandaa mkataba wa Tz na Dp ndio anatakiwa kufungiwa uwakili, au hata kufutiwa shahada yake ya sheria. Lakini hawa wenzetu wanawaza vingine.
Walio ridhia mkataba ni wabunge ambao ndiyo wawakilishi wetu rasmi bungeni tuliowachagua wenyewe. Bunge lina maadili yake na kamati yake ya maadili ya wabunge. Kuridhia mkataba wabunge hawajakiuka maadili yao kama wabunge, tunachoweza kuwashughulikia ni kwenye sanduku la kura la mwaka 2025. Sasa hivi hatuwezi kuwafanya cho chote, labda kuwabembeleza wakafute hayo maridhio waliyoyafanya.Sasa kuridhia mikataba ya utapeli ndio maadili?
Sasa huoni hizo vurugu, machafuko na vifo vya mara kwa mara zinazotokea huko Kenya? Kila kitu duniani kina mipaka yake. Demokrasia ina mipaka yake na kila nchi ina aina yake ya demokrasia inayozingatia maadili na utamaduni wa nchi. Anal sex na mambo mengine ya LGBTQQIP2 kwa USA na ulaya ya magharibi ni demokrasia. Kwetu na nchi kama Russia na China mambo hayo hayakubaliki hata kidogo.Maadili popote pale hayawezi kuwa mbadala wa haki na uhuru wa kutoa maoni. Wanasheria ktk nchi jirani ya Kenya na popote ktk nchi za kidemokrasia wanatoa maoni yao na kuhutubia mikutano na hafla mbalimbali bila kubughudhiwa na mtu wala chombo chochote.
Ni mahakama pekee zenye mamlaka ya kutoa uamuzi iwapo mwanasheria kakiuka maadili.
Wewe kijana kuwa na heshima kwa wazee. Hawa ndiyo wamekuzaa, wamekulea, wamekusomesha na kukufikisha hapa ulipo. Elimu uliyoipata imetoka kwa hawa wazee. Inaelekea sasa wewe mtoto umevurugwa na hao wazungu. Hayo maadili na tamaduni za hao wazungu unaona kwamba ni za kisasa. Huo u homosexuality, transgender na midudu mingine mnayofanya mnaona ndiyo kisasa. Ni lazima sisi wazee wenu tuwarudishe kwenye mstari.Ww utakuwa ni mzee lazima, na inaonekana umeathirika na siasa za kijamaa. Na huenda ni watu mlio katika sehemu za kufanya maamuzi katika nchi hii. Sehemu mkubwa mmekulia kwenye nidhamu za woga, kujipendekeza na zaidi unafiki. Vipimo vyenu sio tija ya mtu, bali ni muonekano wake binafsi.
Na wengi wa watu wa aina yako ni wale mliopata elimu katika hali ya umasikini mkubwa, huku mkitumia nguvu kubwa kusoma lakini masomo yalikuwa hayapandi vizuri. Na kwakuwa hamkuwa na ufaulu mzuri darasani, mmejikuta ni watu wenye nidhamu za woga, unafiki, na ni wapika Majungu wakubwa, kwani nafasi zenu zinategemea kujikomba na kujipendekeza zaidi. Hivyo mkikutana na mtu asiyejipendekeza kwa viongozi kama nyinyi humuona kama ana matatizo.
Nimeeleza kuwa kila fani (profession) ina maadili yake. Maadili ya profession ya udaktari ni tofauti na yale ya profession ya uanasheria na hivyo hivyo kwa profession zingine.Umezungumzia "Maadili", ya fani mbalimbali, lakini kwa bahati mbaya sana au kwa maksudi kabisa ukaacha maadili waliyo nayo majambazi, majizi, viongozi wenye uwezo wa kupeleka raia zao utumwani...n.k., n.k.,
Hawa wote ni wavaa suti vizuri sana, wengine kanzu mardhawa, au mabuibui na kufunika vichwa na hadi vidole miguuni.
Tueleze maadili wanayotakiwa hawa kuyafuata katika shughuli zao.
Watu hawa wakihimiza pawepo na 'maadili' kwingineko bali wao yasiwahusu, hili ndilo unalopigia upatu hapa.
Na ukatoa mfano wa Mashinji kama Daktari kuasahau kwamba hayo "maadili" ya udaktari unayozungumzia hapo ni tofauti na hiyo kazi aliyokuwa akifanya. Hakuna uhusiano wa aina yoyote hapo.Nimeeleza kuwa kila fani (profession) ina maadili yake. Maadili ya profession ya udaktari ni tofauti na yale ya profession ya uanasheria na hivyo hivyo kwa profession zingine.
uniqueness for all ni kufuata sheria zilizokubaliwa na jamiiKila mtu amezaliwa, kukua na kuishi kipekee/unique.Ukitaka wote mfanane usikatae kuitwa mjinga.
Kama raia huru usiyependa dola kuchezewa si ujitolee kwenda Mahakamani ili kufungua madai awajibishwe!Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.
Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.
Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lissu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo.
Inashangaza huyu Tundu Lissu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lissu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
Taja iliyokiukwauniqueness for all ni kufuata sheria zilizokubaliwa na jamii
Ili iweje kwa mfano?Taja iliyokiukwa