Taaluma isiyo na maadili sio taaluma. Hongera AG kwa kulisimamia hili lakini kwanini usimfutilie mbali Uwakili wa Tundu Lissu badala ya Mwabukusi?

Big brain gani anabwabwaja maneno ya ovyo yasiyo na staha.
Yaani huyu jamaa hana kabisa maadili ya taaluma yake. Vyeti vyote vya taluma yake vinapaswa kufutwa vyote alingane na mwenyekiti wake. Tena hata vyeti vyake vyote vya O level na A level vingalifutiliwa mbali ili alingane na akina Msukuma na Bajaji.

Mbona wenzake kama Kibatala wanazingatia maadili ya taaluma zao na wanaheshimika. Hutawakuta kwenye majukwaa ya siasa waki bwabaja. Au mtu kama Dr Mashinji alivyozingatia maadili ya taaluma yake ya udaktari hata alipokuwa katibu mkuu wa chadema, wakamwita ni kilaza. Mbona Padri Slaa alifutiwa alifutiwa vyeti vyake vyote vya taaluma ya upadri kwa kukiuka maadili ya taaluma ya upadri. Sasa hivi hana tofauti na Dr Msukuma, ana bwabaja tu kila mahali. Mbona hata Pascal Mayala aliitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge. Alinusurika kidogo kufutiwa taaluma yake ya habari. Mifano iko mingi. Wakina Mbukusi na Madeleke wameambukizwa kidogo na Tundu Lisu tabia hii. Akiendelea kufumbiwa macho ataendelea kuwaambukiza wanasheria wetu wengi. Hata Fatuma Karume aliambukizwa na Tundu Lisu. Tushughulike na shina badala ya kushughulika na matawi. Msikilize hapa chini.

Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.

Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.

Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lisu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo.

Inashangaza huyu Tundu Lisu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lisu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
Maadili popote pale hayawezi kuwa mbadala wa haki na uhuru wa kutoa maoni. Wanasheria ktk nchi jirani ya Kenya na popote ktk nchi za kidemokrasia wanatoa maoni yao na kuhutubia mikutano na hafla mbalimbali bila kubughudhiwa na mtu wala chombo chochote.
Ni mahakama pekee zenye mamlaka ya kutoa uamuzi iwapo mwanasheria kakiuka maadili.
 
..nilidhani aliyeandaa mkataba wa Tz na Dp ndio anatakiwa kufungiwa uwakili, au hata kufutiwa shahada yake ya sheria. Lakini hawa wenzetu wanawaza vingine.
Sio kufungiwa tu. Bali kufungwa jela ya kilimo huko sumbawanga ndaani ndani huko.
 
Ww utakuwa ni mzee lazima, na inaonekana umeathirika na siasa za kijamaa. Na huenda ni watu mlio katika sehemu za kufanya maamuzi katika nchi hii. Sehemu mkubwa mmekulia kwenye nidhamu za woga, kujipendekeza na zaidi unafiki. Vipimo vyenu sio tija ya mtu, bali ni muonekano wake binafsi.

Na wengi wa watu wa aina yako ni wale mliopata elimu katika hali ya umasikini mkubwa, huku mkitumia nguvu kubwa kusoma lakini masomo yalikuwa hayapandi vizuri. Na kwakuwa hamkuwa na ufaulu mzuri darasani, mmejikuta ni watu wenye nidhamu za woga, unafiki, na ni wapika Majungu wakubwa, kwani nafasi zenu zinategemea kujikomba na kujipendekeza zaidi. Hivyo mkikutana na mtu asiyejipendekeza kwa viongozi kama nyinyi humuona kama ana matatizo.
 
Big brain gani anabwabwaja maneno ya ovyo yasiyo na staha.
Maneno ya staha kwa majizi ya kura? Mnataka kutuonyesha viongozi wetu ni watu wa staha na kuheshimiwa wakati wanaingia madarakani kwa chaguzi za kihayawani? Mfano halisi, huyo waziri mkuu, wote tunajua ushenzi aliofanya ili kuendelea kuwa mbunge. Kisha mtu aliyepata madaraka kwa njia za kishenzi vile mnataka afanyiwe staha kisa na hicho cheo?
 
Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.

Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.

Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lisu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo.

Inashangaza huyu Tundu Lisu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lisu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
Umezungumzia "Maadili", ya fani mbalimbali, lakini kwa bahati mbaya sana au kwa maksudi kabisa ukaacha maadili waliyo nayo majambazi, majizi, viongozi wenye uwezo wa kupeleka raia zao utumwani...n.k., n.k.,

Hawa wote ni wavaa suti vizuri sana, wengine kanzu mardhawa, au mabuibui na kufunika vichwa na hadi vidole miguuni.

Tueleze maadili wanayotakiwa hawa kuyafuata katika shughuli zao.
Watu hawa wakihimiza pawepo na 'maadili' kwingineko bali wao yasiwahusu, hili ndilo unalopigia upatu hapa.
 
..nilidhani aliyeandaa mkataba wa Tz na Dp ndio anatakiwa kufungiwa uwakili, au hata kufutiwa shahada yake ya sheria. Lakini hawa wenzetu wanawaza vingine.
Hivi huyo jamaa 'Dr Akili' bado yupo hapa kwenye mada yake, au kaitelekeza?

Ningependa kusikia anasema nini juu ya hili uliloweka hapa.
 
Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.

Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.

Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lisu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo.

Inashangaza huyu Tundu Lisu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lisu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?

Sijui hata ni maadili gani unaongelea. Hawa viongozi wa serikali hii wanavaa suti na wanataka waheshimiwe, lakini ukiangalia njia waliyotumia kupata madaraka huko kwenye chaguzi, ni uchafu wa kiwango cha juu. Halafu wakosa maadili wa aina hiyo kwakuwa wako madarakani wanavaa suit ndio unataka tuwaone wana maadili sana.
 
..nilidhani aliyeandaa mkataba wa Tz na Dp ndio anatakiwa kufungiwa uwakili, au hata kufutiwa shahada yake ya sheria. Lakini hawa wenzetu wanawaza vingine.
Haka kachawa kanawaona hao ndio wanasheria wabobezi, vichawa vingine ni visumbufu tu.
 
Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.

Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.

Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lissu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo.

Inashangaza huyu Tundu Lissu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lissu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
Kuzaliwa kwenye mkesha wa mwenge ni tatizo
 
Naona ccm mkielimisha uzuri wa mkataba kifungu kwa kifungu,hiki ni kifungu namba ngapi kwenye mktaba mtoa elimu?
 
Kumalizana na kobe kunahitaji timing.
Inawezekana uko sahihi. Wanaanza na wadogo wadogo kabla ya kubwa lao. Sasa hivi wanasubiri wakati wa kukaribia uchaguzi mkuu ndipo washughulike naye kama ambavyo serikali ya Amerika inavyofanya sasa kwa Trump.

..risasi hazijamnyamazisha Lissu.

..unadhani kumfutia uwakili itasaidia nini?
Itasaidia kulinda heshima ya taaluma (profession) ya wanasheria. Fikiria kama wanasheria wote nchini kwetu wakiwa na tabia kama ya Tundu Lisu nchi itakalika kweli? Si tutakuwa kama Kenya, vurugu kila siku na watu kupoteza uhai?

Tundu Lissu keshakuwa mwanasiasa kwaio wanajua kumtolea uwakili sio dili maana inawezekana anapractise "rarely". Wanadhani Mwabukusi anakula kupitia uwakili kwaio wanataka kukata umeme.. Sasa wanaompenda Mwabukusi wampe kazi ya kisiasa basi watakuwa wamemfunga AG goli saba za mshindo
Lengo siyo kumkatia umeme unaompa riziki yake ya maisha. Lengo ni kuisafisha hii taaluma ya uwakili wa mahakama kuu yetu ambayo anaichafua na wengine wameanza kuiga uchafuzi huo. Apishe huku na aendelee kwenye hiyo taaluma ya siasa aliyoichagua, anayoipenda, anayoimudu na inayomwingizia kipato cha mamillioni ya dola kwa mwaka.

..nilidhani aliyeandaa mkataba wa Tz na Dp ndio anatakiwa kufungiwa uwakili, au hata kufutiwa shahada yake ya sheria. Lakini hawa wenzetu wanawaza vingine.
Ni kweli hawa nao wanapaswa kushughulikiwa ipasavyo. Kosa lao si la kukiuka maadili ya profession ya uanasheria. Kosa lao linaweza likawa ni incompetence (weledi mdogo), negligence au corruption. Makosa hayo hayashughulikiwi na Kamati ya Maadili ya Mawakili wa Mahakama Kuu. In fact makosa hayo ni makubwa zaidi kuliko haya yanayofanywa na Tundu Lisu na Mwabukusi.

Sasa kuridhia mikataba ya utapeli ndio maadili?
Walio ridhia mkataba ni wabunge ambao ndiyo wawakilishi wetu rasmi bungeni tuliowachagua wenyewe. Bunge lina maadili yake na kamati yake ya maadili ya wabunge. Kuridhia mkataba wabunge hawajakiuka maadili yao kama wabunge, tunachoweza kuwashughulikia ni kwenye sanduku la kura la mwaka 2025. Sasa hivi hatuwezi kuwafanya cho chote, labda kuwabembeleza wakafute hayo maridhio waliyoyafanya.
Maadili popote pale hayawezi kuwa mbadala wa haki na uhuru wa kutoa maoni. Wanasheria ktk nchi jirani ya Kenya na popote ktk nchi za kidemokrasia wanatoa maoni yao na kuhutubia mikutano na hafla mbalimbali bila kubughudhiwa na mtu wala chombo chochote.
Ni mahakama pekee zenye mamlaka ya kutoa uamuzi iwapo mwanasheria kakiuka maadili.
Sasa huoni hizo vurugu, machafuko na vifo vya mara kwa mara zinazotokea huko Kenya? Kila kitu duniani kina mipaka yake. Demokrasia ina mipaka yake na kila nchi ina aina yake ya demokrasia inayozingatia maadili na utamaduni wa nchi. Anal sex na mambo mengine ya LGBTQQIP2 kwa USA na ulaya ya magharibi ni demokrasia. Kwetu na nchi kama Russia na China mambo hayo hayakubaliki hata kidogo.

Ww utakuwa ni mzee lazima, na inaonekana umeathirika na siasa za kijamaa. Na huenda ni watu mlio katika sehemu za kufanya maamuzi katika nchi hii. Sehemu mkubwa mmekulia kwenye nidhamu za woga, kujipendekeza na zaidi unafiki. Vipimo vyenu sio tija ya mtu, bali ni muonekano wake binafsi.

Na wengi wa watu wa aina yako ni wale mliopata elimu katika hali ya umasikini mkubwa, huku mkitumia nguvu kubwa kusoma lakini masomo yalikuwa hayapandi vizuri. Na kwakuwa hamkuwa na ufaulu mzuri darasani, mmejikuta ni watu wenye nidhamu za woga, unafiki, na ni wapika Majungu wakubwa, kwani nafasi zenu zinategemea kujikomba na kujipendekeza zaidi. Hivyo mkikutana na mtu asiyejipendekeza kwa viongozi kama nyinyi humuona kama ana matatizo.
Wewe kijana kuwa na heshima kwa wazee. Hawa ndiyo wamekuzaa, wamekulea, wamekusomesha na kukufikisha hapa ulipo. Elimu uliyoipata imetoka kwa hawa wazee. Inaelekea sasa wewe mtoto umevurugwa na hao wazungu. Hayo maadili na tamaduni za hao wazungu unaona kwamba ni za kisasa. Huo u homosexuality, transgender na midudu mingine mnayofanya mnaona ndiyo kisasa. Ni lazima sisi wazee wenu tuwarudishe kwenye mstari.
Umezungumzia "Maadili", ya fani mbalimbali, lakini kwa bahati mbaya sana au kwa maksudi kabisa ukaacha maadili waliyo nayo majambazi, majizi, viongozi wenye uwezo wa kupeleka raia zao utumwani...n.k., n.k.,

Hawa wote ni wavaa suti vizuri sana, wengine kanzu mardhawa, au mabuibui na kufunika vichwa na hadi vidole miguuni.

Tueleze maadili wanayotakiwa hawa kuyafuata katika shughuli zao.
Watu hawa wakihimiza pawepo na 'maadili' kwingineko bali wao yasiwahusu, hili ndilo unalopigia upatu hapa.
Nimeeleza kuwa kila fani (profession) ina maadili yake. Maadili ya profession ya udaktari ni tofauti na yale ya profession ya uanasheria na hivyo hivyo kwa profession zingine.

Nimeeleza pia kuwa kila kazi ina maadili (behavior) yake specific. Chagudoa maadili yake ni pamoja na kuvaa nusu uchi na kunengua kiuno anapotembea. Jambazi naye ana behavior yake, pia mwanasiasa na kadhalika.

Kila nchi pia huwa ina maadili na utamaduni wake wa kipekee. Maadili na utamaduni wa Tanzania ni tofauti na Kenya, Rwanda, USA, UK na kadhalika. Sijui kama bado hujanielewa.
 
Nimeeleza kuwa kila fani (profession) ina maadili yake. Maadili ya profession ya udaktari ni tofauti na yale ya profession ya uanasheria na hivyo hivyo kwa profession zingine.
Na ukatoa mfano wa Mashinji kama Daktari kuasahau kwamba hayo "maadili" ya udaktari unayozungumzia hapo ni tofauti na hiyo kazi aliyokuwa akifanya. Hakuna uhusiano wa aina yoyote hapo.
Ndiyo maana nikaona hujui ulichokuwa unalenga tokea mwanzo wa mada.

Na usijifanye kwamba hujui kuwa katika kila 'Profession', pamoja na kuwa na hayo maadili; hao ni watu tu, kuna matapeli, majizi na takataka za kila aina katika profession hizo.
 
Maadili ndiyo kila kitu kwenye kila kazi na kila taaluma. Maadili hayo yanajumuisha jinsi unavyoongea, unavyovaa na hata unavyotembea na yanapaswa yazingatiwe hata kama mtu yuko nje ya kazi. Maadili ndiyo utambulisho wa taaluma.

Na kila taaluma ina maadili yake special. Mhudumu wa baa utamtambua kwa ongea yake, vaa yake, ukaaji wake na tembea yake. Vivyo hivyo kwa nesi, daktari, engineer, mhasibu, wakili wa mahakama kuu na kadhalika.

Ni kweli kabisa watu kama Fatuma Karume na Tundu Lissu kila mwenye akili aliwaona wazi hawaendani kabisa na maadili ya taaluma zao za kuwa mawakili wa mahakama kuu. Kwa usahihi kabisa Fatuma alifyekwa kutoka kwenye taaluma hiyo.

Inashangaza huyu Tundu Lissu bado anaendelea kupeta hadi leo. Amediriki hadi kukaidi summon ya DCI. Anaendelea kuwadhihaki na kuwatukana viongozi wakuu kwa kiwango kikubwa sana kuliko walicho onesha akina Mwabukusi, Madeleke na Nashara ambao wako kwenye kashikashi ya kufyekwa. Kwa nini AG amekuwa anaogopa kumshughulikia Tundu Lissu? Au alisha shughulikiwa kitambo sisi hatuna taarifa?
Kama raia huru usiyependa dola kuchezewa si ujitolee kwenda Mahakamani ili kufungua madai awajibishwe!
 
Back
Top Bottom