Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Wanabodi
Hii ni Safu yangu mpya ya Taamuli Huru ya Gazeti la Mwananchi, kulaletea wana JF, makala zangu kwenye gazeti la Mwananchi, ili kikitokea kile nilichokishauri, niwe nakumbushia tuu, niliwahi kuandika nini na kushauri nini, na kutoa mrejesho wa nilichoshauri kama kimetekelezwa, kimesaidia nini, kama kimepuuzwa, what are the consequences.
Hii ni makala yayangu ya siku nyingi nyuma, TAAMULI HURU: Kilichofanyika mkutano mkuu wa CCM ni batili
Mada hii iliandamana na Barua kwa Dada yangu mkubwa, Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa
Leo nimeikumbushia, ili kuitumia kama rejea ya kile nilichoshauri kifanyike, hakikufanyika, ila kwenye ushauri huo, niliishia tuu kushauri bila kutaja the consequences za nini kitatokea, ushauri huo ukipuuzwa!, kuanzia sasa, nitakuwa nikishauri kitu chochote, au jambo lolote
pia nitakuwa naweka na the consequences za ushauri huo usipofuatwa, ili hizo consequences zikitokea, niwe nakumbushia tuu, nilishauri nini, nikasema nini kitatokea iwepo ushauri huo utapuuzwa, hivyo hiki kilichotokea ni matokeo ya mapuuza, hivyo mimi ninakuwa nilitimiza wajibu wangu kikamilifu.
Mzee Pasco