Taamuli Huru ya Gazeti la Mwananchi: Kilichofanyika Mkutano Mkuu wa CCM, ni Ubatili!.

Wanabodi
Hii ni Safu yangu mpya ya Taamuli Huru ya Gazeti la Mwananchi, kulaletea wana JF, makala zangu kwenye gazeti la Mwananchi, ili kikitokea kile nilichokishauri, niwe nakumbushia tuu, niliwahi kuandika nini.

Hii ni makala yayangu ya siku nyingi nyuma, TAAMULI HURU: Kilichofanyika mkutano mkuu wa CCM ni batili

Mada hii iliandamana na Barua kwa Dada yangu mkubwa, Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa

Leo nimeikumbushia, ili kuitumia kama rejea ya kile nilichoshauri kifanyike, hakikufanyika, ila kwenye ushauri huo, niliishia tuu kushauri bila kutaja the consequences za nini kitatokea, ushauri huo ukipuuzwa!, kuanzia sasa, nitakuwa nikishauri kitu chochote, au jambo lolote

pia nitakuwa naweka na the consequences za ushauri huo usipofuatwa, ili hizo consequences zikitokea, niwe nakumbushia tuu, nilishauri nini, nikasema nini kitatokea iwepo ushauri huo utapuuzwa, hivyo hiki kilichotokea ni matokeo ya mapuuza, hivyo mimi ninakuwa nilitimiza wajibu wangu kikamilifu.

Mzee Pasco
toka siku nyingi tunajua P ni mlambishwa Asali tu!
Karibu turambe asali!.
P
 
Attachments

  • IMG-20261002-WA0259.jpg
    IMG-20261002-WA0259.jpg
    416.6 KB · Views: 8
  • IMG-20261002-WA4292.jpg
    IMG-20261002-WA4292.jpg
    404.8 KB · Views: 7
Ama unatumiwa, ama hutumiwi ila ni, to borrow a Vladimir Lenin phrase, "a useful idiot" tu wa Samia/CCM unawafanyia kazi yao bila kujijua.

Which is even worse.
Mkuu Kiranga , sisi wana jf pia tunawajibu wa kuheshimiana, kumuita member humu "a useful idiot" tu wa Samia/CCM" sio jina la heshima!, kumuita mtu idiot ni kumtukana.

Jadili kama ni kweli wewe ni useful idiot au si kweli.

Wewe kama useful idiot, kitu cha kukuheshimu kabisa ni kukuambia hapa umekuwa useful idiot.

Ili kama unaweza uache kuwa useful idiot.

Nisipokuambia hivyo nitakuwa nimekudharau, sijakuheshimu.

Nitakuwa nimeona ama huna uwezo wa kujifunza, ama uko emotional sana hutastahimili ukweli, nikiacha kukuambia ukweli hapo sijakuheshinu, hapo nimekudharau.

Ukweli ni ukweli, nikiusema utabaki kuwa ukweli, nisipousema utabaki kuwa ukweli.

Kama mimi tayari naona wewe ni useful idiot, huwezi kuzuia hiyo fikra, ipo kichwani kwangu, ni bora niiseme na wewe ujue tu.

Kama ninakosea, unikosoe.

Ukininyima uhuru wa kusema nakuona wewe useful idiot, na hojabyangu ni kweli, sahihi, unajinyima nafasi ya kunikosoa na kunielimisha kuwa wewe si useful idiot kwa sababu hii na hii.

Sasa mtu ajitetee kwa hoja kwamba yeye si useful idiot. Asifanye censorship watu wasiseme kuwa mtu ni useful idiot.

Are you a useful idiot or not? Why?
 
Jadili kama ni kweli wewe ni useful idiot au si kweli.

Wewe kama useful idiot, kitu cha kukuheshimu kabisa ni kukuambia hapa umekuwa useful idiot.
Ukweli ni ukweli, nikiusema utabaki kuwa ukweli, nisipousema utabaki kuwa ukweli.
Kama ninakosea, unikosoe.
Are you a useful idiot or not? Why?
I'm just asking for civility, watu tunatofautiana uvumilivu wa kutukanwa, as jf members tuna wajibu wa kuheshimiana, kutumia lugha za heshima na staha, kumuita member mwenzako humu idiot, ni kumtukana!, jf tumepoteza members wengi muhimu na wa maana, kutokana na wao kutovumilia kutukanwa na kudhalilishwa.

Si maanishi kuingilia uhuru wa member yeyote kutoa maoni yoyote hata kumtukana membe mwingine, mfano mtu ukiitwa mjinga ni umetukanwa, lakini ukifanya ujinga, ukaelezwa huo ni ujinga, ukaitwa mjinga, unakuwa ni umeambiwa ukweli, hivyo hata mimi, hata members wetu wowote, kuitwa idiot ni kutukanwa, lakini kama umefanya kitendo cha idiotic, ukaelezwa ulichofanya ni kinafanywa na ma idiots, hivyo na wewe ni idiot, then utakuwa umeambiwa ukweli.

Kwa upande wangu, mtu huwezi kujijua mwenyewe, unaweza kufanya jambo kwako ni kawaida kumbe wengine wanakuona ni idiot, hivyo ukitukana idiot, japo utaumia kutukanwa, ila utakuwa umeambiwa ukweli, mimi nakubali vyovyote nitakavyo itwa.

P
 
Wanabodi
Hii ni Safu yangu mpya ya Taamuli Huru ya Gazeti la Mwananchi, kulaletea wana JF, makala zangu kwenye gazeti la Mwananchi, ili kikitokea kile nilichokishauri, niwe nakumbushia tuu, niliwahi kuandika nini na kushauri nini, na kutoa mrejesho wa nilichoshauri kama kimetekelezwa, kimesaidia nini, kama kimepuuzwa, what are the consequences.

Hii ni makala yayangu ya siku nyingi nyuma, TAAMULI HURU: Kilichofanyika mkutano mkuu wa CCM ni batili

Mada hii iliandamana na Barua kwa Dada yangu mkubwa, Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa

Leo nimeikumbushia, ili kuitumia kama rejea ya kile nilichoshauri kifanyike, hakikufanyika, ila kwenye ushauri huo, niliishia tuu kushauri bila kutaja the consequences za nini kitatokea, ushauri huo ukipuuzwa!, kuanzia sasa, nitakuwa nikishauri kitu chochote, au jambo lolote

pia nitakuwa naweka na the consequences za ushauri huo usipofuatwa, ili hizo consequences zikitokea, niwe nakumbushia tuu, nilishauri nini, nikasema nini kitatokea iwepo ushauri huo utapuuzwa, hivyo hiki kilichotokea ni matokeo ya mapuuza, hivyo mimi ninakuwa nilitimiza wajibu wangu kikamilifu.
​
Mzee Pasco
Pascal Mayalla is either a willing spinner or a "useful idiot" to Samia and CCM.

I told him this.

Either way, it looks terrible.
Mkuu Kiranga , to be honest, sasa nimefurahishwa na hii "useful idiot" ya kwenye post hii, kwasababu its not definite, ile either or ndio the little civility I was asking for. Tnank you for this!.

Mimi ni muumini wa ile concept ya "Me and I ", me ni jinsi mtu anavyoonekana alivyo, na anavyochukuliwa na the society, jinsi anavyoonekana, and I, ni the real you vs the purported you.

Hivyo mimi ninavyojijua mimi, I'm neither a willing spinner or a "useful idiot"

a willing spinner ni machawa na uchawa, mimi sio chawa, sifanyi spinning humu, ila kosa langu kubwa humu, ni kuwa mkweli, kuwaeleza watu ukweli mchungu bila kumumunya wala kutafuna maneno. mfano mzuri ni urais wa Samia post 29th October, nimeeleza humu, baada ya uchaguzi batilifu, uliendeshwa na INEC batilifu, na kikafanyika kilichofanyika ikiwemo kuzipiga kura za wale majinga wote ambao walijiandikisha kupiga kura lakini siku ya kupiga kura, hawakujitokeza, hivyo to make room kura zao kupigiwa, na yakatangazwa matokeo batilifu, nikaeleza watu humu, Tangazo hilo la INEC kumtangaza mshindi ndio the final and conclusive kuhusu uchaguzi wetu!, no ene can do anything unless YEYE aamue vinginevyo!. Na nikaeleza kitendo cha kuapishwa ni kuhalalisha kila kilichofanyika kwa kanuni ya "the end justifies the means", hivyo Rais Samia ni rais halili kikatiba na kisheria ila sio rais wa haki, kwasababu haki na sheria ni vitu viwili tofauti. Hivyo kitendo na kutoa facts kama hii, kunanifanya nihesabike as a "useful idiot", then be it!.

Kwa vile najua watu wenye uwezo to read in between the lines humu jukwaani wanahesabika, and I know, wewe you are one among them, hivyo nitakupitisha kwenye baadhi ya hoja zangu, kisha nikupe uhuru wa kuzi label kama a willing spinner or a "useful idiot", na ukikuta I'm not, nitakuomba umeze kauli zako kwa kunifahamu my I, besides Me.

Karibu mitaa hii, na be honest kama hili ni bandiko la kichawa or spinning?.

You are a proper useful idiot then.
 
Back
Top Bottom