Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
-
- #21
Wanabodi
Hii ni Safu yangu mpya ya Taamuli Huru ya Gazeti la Mwananchi, kulaletea wana JF, makala zangu kwenye gazeti la Mwananchi, ili kikitokea kile nilichokishauri, niwe nakumbushia tuu, niliwahi kuandika nini.
Hii ni makala yayangu ya siku nyingi nyuma, TAAMULI HURU: Kilichofanyika mkutano mkuu wa CCM ni batili
Mada hii iliandamana na Barua kwa Dada yangu mkubwa, Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa
Leo nimeikumbushia, ili kuitumia kama rejea ya kile nilichoshauri kifanyike, hakikufanyika, ila kwenye ushauri huo, niliishia tuu kushauri bila kutaja the consequences za nini kitatokea, ushauri huo ukipuuzwa!, kuanzia sasa, nitakuwa nikishauri kitu chochote, au jambo lolote
pia nitakuwa naweka na the consequences za ushauri huo usipofuatwa, ili hizo consequences zikitokea, niwe nakumbushia tuu, nilishauri nini, nikasema nini kitatokea iwepo ushauri huo utapuuzwa, hivyo hiki kilichotokea ni matokeo ya mapuuza, hivyo mimi ninakuwa nilitimiza wajibu wangu kikamilifu.
Mzee Pasco
Karibu turambe asali!.toka siku nyingi tunajua P ni mlambishwa Asali tu!
tuma location basiKaribu turambe asali!.
P
Too late!.tuma location basi
Too late!.
P
Mkuu Kiranga , sisi wana jf pia tunawajibu wa kuheshimiana, kumuita member humu "a useful idiot" tu wa Samia/CCM" sio jina la heshima!, kumuita mtu idiot ni kumtukana.Ama unatumiwa, ama hutumiwi ila ni, to borrow a Vladimir Lenin phrase, "a useful idiot" tu wa Samia/CCM unawafanyia kazi yao bila kujijua.
Which is even worse.
Jadili kama ni kweli wewe ni useful idiot au si kweli.Mkuu Kiranga , sisi wana jf pia tunawajibu wa kuheshimiana, kumuita member humu "a useful idiot" tu wa Samia/CCM" sio jina la heshima!, kumuita mtu idiot ni kumtukana.
P
I'm just asking for civility, watu tunatofautiana uvumilivu wa kutukanwa, as jf members tuna wajibu wa kuheshimiana, kutumia lugha za heshima na staha, kumuita member mwenzako humu idiot, ni kumtukana!, jf tumepoteza members wengi muhimu na wa maana, kutokana na wao kutovumilia kutukanwa na kudhalilishwa.Jadili kama ni kweli wewe ni useful idiot au si kweli.
Wewe kama useful idiot, kitu cha kukuheshimu kabisa ni kukuambia hapa umekuwa useful idiot.
Ukweli ni ukweli, nikiusema utabaki kuwa ukweli, nisipousema utabaki kuwa ukweli.
Kama ninakosea, unikosoe.
Are you a useful idiot or not? Why?
Wanabodi
Hii ni Safu yangu mpya ya Taamuli Huru ya Gazeti la Mwananchi, kulaletea wana JF, makala zangu kwenye gazeti la Mwananchi, ili kikitokea kile nilichokishauri, niwe nakumbushia tuu, niliwahi kuandika nini na kushauri nini, na kutoa mrejesho wa nilichoshauri kama kimetekelezwa, kimesaidia nini, kama kimepuuzwa, what are the consequences.
Hii ni makala yayangu ya siku nyingi nyuma, TAAMULI HURU: Kilichofanyika mkutano mkuu wa CCM ni batili
Mada hii iliandamana na Barua kwa Dada yangu mkubwa, Dada Mkubwa tunakupenda na tunakukubali, kama ni wewe, ni wewe tu, hakuna mwingine! Usiruhusu uhuni huu, fuata Katiba na the due process, utabarikiwa
Leo nimeikumbushia, ili kuitumia kama rejea ya kile nilichoshauri kifanyike, hakikufanyika, ila kwenye ushauri huo, niliishia tuu kushauri bila kutaja the consequences za nini kitatokea, ushauri huo ukipuuzwa!, kuanzia sasa, nitakuwa nikishauri kitu chochote, au jambo lolote
pia nitakuwa naweka na the consequences za ushauri huo usipofuatwa, ili hizo consequences zikitokea, niwe nakumbushia tuu, nilishauri nini, nikasema nini kitatokea iwepo ushauri huo utapuuzwa, hivyo hiki kilichotokea ni matokeo ya mapuuza, hivyo mimi ninakuwa nilitimiza wajibu wangu kikamilifu.
Mzee Pasco
Mkuu Kiranga , to be honest, sasa nimefurahishwa na hii "useful idiot" ya kwenye post hii, kwasababu its not definite, ile either or ndio the little civility I was asking for. Tnank you for this!.Pascal Mayalla is either a willing spinner or a "useful idiot" to Samia and CCM.
I told him this.
Either way, it looks terrible.
You are a proper useful idiot then.Mkuu Kiranga , to be honest, sasa nimefurahishwa na hii "useful idiot" ya kwenye post hii, kwasababu its not definite, ile either or ndio the little civility I was asking for. Tnank you for this!.
Mimi ni muumini wa ile concept ya "Me and I ", me ni jinsi mtu anavyoonekana alivyo, na anavyochukuliwa na the society, jinsi anavyoonekana, and I, ni the real you vs the purported you.
Hivyo mimi ninavyojijua mimi, I'm neither a willing spinner or a "useful idiot"
a willing spinner ni machawa na uchawa, mimi sio chawa, sifanyi spinning humu, ila kosa langu kubwa humu, ni kuwa mkweli, kuwaeleza watu ukweli mchungu bila kumumunya wala kutafuna maneno. mfano mzuri ni urais wa Samia post 29th October, nimeeleza humu, baada ya uchaguzi batilifu, uliendeshwa na INEC batilifu, na kikafanyika kilichofanyika ikiwemo kuzipiga kura za wale majinga wote ambao walijiandikisha kupiga kura lakini siku ya kupiga kura, hawakujitokeza, hivyo to make room kura zao kupigiwa, na yakatangazwa matokeo batilifu, nikaeleza watu humu, Tangazo hilo la INEC kumtangaza mshindi ndio the final and conclusive kuhusu uchaguzi wetu!, no ene can do anything unless YEYE aamue vinginevyo!. Na nikaeleza kitendo cha kuapishwa ni kuhalalisha kila kilichofanyika kwa kanuni ya "the end justifies the means", hivyo Rais Samia ni rais halili kikatiba na kisheria ila sio rais wa haki, kwasababu haki na sheria ni vitu viwili tofauti. Hivyo kitendo na kutoa facts kama hii, kunanifanya nihesabike as a "useful idiot", then be it!.
Kwa vile najua watu wenye uwezo to read in between the lines humu jukwaani wanahesabika, and I know, wewe you are one among them, hivyo nitakupitisha kwenye baadhi ya hoja zangu, kisha nikupe uhuru wa kuzi label kama a willing spinner or a "useful idiot", na ukikuta I'm not, nitakuomba umeze kauli zako kwa kunifahamu my I, besides Me.
Karibu mitaa hii, na be honest kama hili ni bandiko la kichawa or spinning?.
Mzee Pasco