KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali.

Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi kulipa mkopo wao na matusi juu.

Kampuni inaitwa Credit Land

IMG_20240406_213048_031.jpg
 
Pole sana, hii style nimeiona inasumbua sana huko India na Wakopeshaji ni Wachina.

Dawa ni kuRegulate hizo Loan Sharks.

Quick-lending apps run by Chinese nationals have become notorious in India for offering small loans and getting access to the phone data of the borrower. The loans soon become a big headache as the lenders start blackmailing borrowers by morphing their photos they had taken access to.19 May 2023
 
Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali.

Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi kulipa mkopo wao na matusi juu.

Kampuni inaitwa Credit Land

View attachment 2955837
Lipa deni la watu kuepuka hiyo fedheha
 
nenda ofisini kwao kawalipe lakini na wewe kusanya ushahidi wa defamation mtafute peter kibatala kama utaweza kumlipa
yani wao tu hujawalipa ndo utaweza kumlipa kibatala mbona kama najitesa kutoa ushauri
lakini navyokuona utawaweza kwa njia moja tafuta uchawi waloge sababu ukienda kwa mganga wa kienyeji hutaweza kumlipa
 
Pole sana, hii style nimeiona inasumbua sana huko India na Wakopeshaji ni Wachina.

Dawa ni Regulate hizo Loan Sharks.
Dawa sio regulations, dawa ni kulipa deni, wabongo tunaleana sana, hata hapa nchini, watu wanakopa kwa majirani na ndugu ila hawataki kulipa, hebu wakutane na wahuni wenzao ili wanyooke
 
Back
Top Bottom