KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
BOT juzi kat wametoa muongozo efm ....pitie kurasa yao ya insta kuna clip utaona wameeleza fresh kabsa
 
Umeyakanyaga mzee,alafu walivyo na riba za ajabu usikute kwenye hiyo hela uliambulia 150k tu!
 
Wewe huwa hupati hizi tahadhari za BOT? Hivi vidubwasha vya mikopo online vingi havina usajili wala maadili

Kopa kwenye taasisi yenye leseni ya Benki Kuu ya Tanzania kuepuka usumbufu.Zingatia malengo ya mkopo, elewa mkataba na ubaki na nakala iliyosainiwa.
 
JF msimsha mbulie jamaa hamuwezi juwa anapitia changamoto gani sidhani kama kuna mtu anapenda kudaiwa na pesa ya kulipa anayo.
 
Wafunguli
Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali.

Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi kulipa mkopo wao na matusi juu.

Kampuni inaitwa Credit Land

View attachment 2955837
Wafungulie kesi hawa wakulipe
 
Back
Top Bottom