KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

KERO Taarifa Binafsi: Kampuni ya Mikopo inayojiita Credit Land imenifanyia udhalilishaji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mlikuwa mnakopa kwenye hizo app za online halafu mnakuja kujisifu humu jinsi mlivyowatapeli kwa kutolipa madeni yao sasa kiboko yenu imepatikana kama mbwai iwe mbwai tu! Mchina kaamua kwenda sawa na wahuni kama wewe

Mi naomba washikilie hapo hapo ikibidi waongeze dozi ili mkome na tabia zenu za kupenda kudhulumu.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Wewe utakuwa mwajiriwa wa hizi kampuni za mtandaoni
Acheni ufala na upumbavu nyie wajinga wa Tanganyika! Mna accept kila kitu then mnakuja kujamba jamba hovyo humu kama mapimbi! Nani anakutuma kukopa? Ukikopa nani akulipie deni? Shwaini!!
 
Acheni ufala na upumbavu nyie wajinga wa Tanganyika! Mna accept kila kitu then mnakuja kujamba jamba hovyo humu kama mapimbi! Nani anakutuma kukopa? Ukikopa nani akulipie deni? Shwaini!!
Jamaa anaona yupo right kabisa kutokulipa deni 😂😂😂
Wew lipa deni kwa wakati uone kama utasumbuliwa
 
Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali.

Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi kulipa mkopo wao na matusi juu.

Kampuni inaitwa Credit Land

View attachment 2955837
Data protection bado sana kwa Africa.

Halafu kichekesho sasa 'CLEDITY' ndio kitu gani?
 
Sasa si uwalipe mkuu , mbona hapo kama inaonekana wewe ndio umeanza kwa kukiuka utaratibu, mimi nilihisi mkopaji sio wewe ni mtu ambaye humjui
 
Mlikuwa mnakopa kwenye hizo app za online halafu mnakuja kujisifu humu jinsi mlivyowatapeli kwa kutolipa madeni yao sasa kiboko yenu imepatikana kama mbwai iwe mbwai tu! Mchina kaamua kwenda sawa na wahuni kama wewe

Mi naomba washikilie hapo hapo ikibidi waongeze dozi ili mkome na tabia zenu za kupenda kudhulumu.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Hawana cha kufanya zaidi ya hivyo vitisho
Wenyewe hawapo kisheria la sivyo wangekuwa wanawashitaki wadeni wao
 
Back
Top Bottom