A
Lipa deni la watu kuepuka hiyo fedhehaNimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali.
Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi kulipa mkopo wao na matusi juu.
Kampuni inaitwa Credit Land
View attachment 2955837
Dawa sio regulations, dawa ni kulipa deni, wabongo tunaleana sana, hata hapa nchini, watu wanakopa kwa majirani na ndugu ila hawataki kulipa, hebu wakutane na wahuni wenzao ili wanyookePole sana, hii style nimeiona inasumbua sana huko India na Wakopeshaji ni Wachina.
Dawa ni Regulate hizo Loan Sharks.
Gharama ya kumlipa wakili anayonenda ofisini kwao kawalipe lakini na wewe kusanya ushahidi wa defamation mtafute peter kibatala kama utaweza kumlipa
Kuna Circumstances usiombe yakukute,hizi Loan Sharks zimesababisha Watu Kujiua☹️Dawa sio regulations, dawa ni kulipa deni, wabongo tunaleana sana, hata hapa nchini, watu wanakopa kwa majirani na ndugu ila hawataki kulipa, hebu wakutane na wahuni wenzao ili wanyooke
kaa kimya kama auna cha kushauriLipa deni la watu kuepuka hiyo fedheha