Hawana cha kukufanyaNimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali.
Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi kulipa mkopo wao na matusi juu.
Kampuni inaitwa Credit Land
View attachment 2955837
Kama hapendi kudaiwa kwanini alikopa?Mkuu kuweni na busara hakuna anaependa kudaiwa huwezi juwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Group tena [emoji2][emoji2] hawa jamaa ni shida..lipa tu hela za watu
Wewe utakuwa mwajiriwa wa hizi kampuni za mtandaoniWe mpumbavu sana, sasa mtu umekopa hela ya watu unataka ushauriwe nini zaidi ya kulipa deni?
Acheni ufala na upumbavu nyie wajinga wa Tanganyika! Mna accept kila kitu then mnakuja kujamba jamba hovyo humu kama mapimbi! Nani anakutuma kukopa? Ukikopa nani akulipie deni? Shwaini!!Wewe utakuwa mwajiriwa wa hizi kampuni za mtandaoni
Jamaa anaona yupo right kabisa kutokulipa deni πππAcheni ufala na upumbavu nyie wajinga wa Tanganyika! Mna accept kila kitu then mnakuja kujamba jamba hovyo humu kama mapimbi! Nani anakutuma kukopa? Ukikopa nani akulipie deni? Shwaini!!
Data protection bado sana kwa Africa.Nimepitia udhalilishaji wa kimtandao naomba kupata utaratibu nifanyeje tafadhali.
Wamenidhalilisha vibaya mno wameniundia mpaka group, wameadd ndugu zangu na marafiki wakidai ni tapeli nimekaidi kulipa mkopo wao na matusi juu.
Kampuni inaitwa Credit Land
View attachment 2955837
Wakishamsdhalilisha hivyo ndiyo wanapate PESA yao? Kwanini wasimshitaki ?Lipa deni acha janja janja wameajiri watu watawalipaje sasa
Hizo app mnazodownload kuna vitu mnaacept alafu wao wanapata namba zenu zote za simu ukishachelewa kuwalipa tu wanaanza kuwasumbua watu wako wa karibu acheni kukopa online
Nao sio wajinga. Hawakupi mkopo mpaka uruhusu wachungulie phonebook, calls etc
Hawana cha kufanya zaidi ya hivyo vitishoMlikuwa mnakopa kwenye hizo app za online halafu mnakuja kujisifu humu jinsi mlivyowatapeli kwa kutolipa madeni yao sasa kiboko yenu imepatikana kama mbwai iwe mbwai tu! Mchina kaamua kwenda sawa na wahuni kama wewe
Mi naomba washikilie hapo hapo ikibidi waongeze dozi ili mkome na tabia zenu za kupenda kudhulumu.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app