Zanzibar 2020 Taarifa hizi toka Visiwani Zanzibar zina ukweli?

Maalim ukikubali tu "WATALII" wapige kura maalum basi umekwisha!! Leo tar 27 pigeni kura lindeni na hesabuni kwa pamoja na pia hiyo kesho watu ambao hawajapiga tar 27 wapige lindeni na hesabuni...Kuwaachia hao watu maalum wapige peke yao hakika watapiga kura maalum.
 
Fake News Yaani Askari Police akute MTU kibarazani amuuwe khaa huu in uwongoo isije kuwa ACT mshaanzaa kuuwana mharibua Utulivu Wa uchaguzi
 
Fake News Yaani Askali Police akute MTU kibarazani amuuwe khaa huu in uwongoo isije kuwa ACT mshaanzaa kuuwana mharibua Utulivu Wa uchaguzi

Kwani alivyo uwawa Akwilina (R.I.P. Dada yetu) alikuwa kwenye Maandamano ya Chadema !?
 
Jamani twitter kwenu inafanya kazi.??

Naona kwangu ni mauza uza tu... Video iachez wala picha haionyeshi..

Naona hata ku update inakataa
 
Jamani twitter kwenu inafanya kazi.??

Naona kwangu ni mauza uza tu... Video iachez wala picha haionyeshi..

Naona hata ku update inakataa

Wamei-block, itabidi utumie VPN ndio utaweza ku-access. Pole ndio nchi yetu hii.
 
Hawa MASHETANI WA CCM ni muda muafaka kuanzisha maandamano yasiyo na kikomo ili kuwafurusha madarakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…