Taarifa kutoka hospitali aliyopo Wastara kuhusu matibabu yake

Hiyo itakuwa Mloganzila mkuu..
 
wewe nawe uwe unajiongeza kufikiri basiii ..hapo umeiona taarifa ya hospital au umeiona taarifa ya kutoka kwa kiongozi wa bongo movie..kuna taarifa yoyote iliyoambatana na muhuri wa hospital husika ..au huyo kiongozi wa bongo movie ndio ameshakuwa afisa habari wa hiyo hospital...halafu hta kujiuliza pia washindwa wajua ana ukaribu upi na wastara mpka ashindwe kumtetea ..aiseeee bado tunakazi kubwa mnooo kama taifa

vijana wengi mnooo ambao tuna waita wasomi bado nimabongo lala
 
mimi ningekuwa yeye napiga picha kabisa mbele ya bango la hospitali na daktari anaenitibu halafu nisikie mtu anapiga kelele
uwezo huo hana ndio maana anahaha baada yakujua kuwa tumeshtuka kuwa ametunywesha chai..in short hayupo huko anapotaka tuamini kuwa yupo ..angeshayafanya yote hayo tena chap kwa haraka
 
uwezo huo hana ndio maana anahaha baada yakujua kuwa tumeshtuka kuwa ametunywesha chai..in short hayupo huko anapotaka tuamini kuwa yupo ..angeshayafanya yote hayo tena chap kwa haraka
Umeshtuka baada ya kushtushwa na da'Mange sio?
 
Kwa hyo hyo dokta kwisa aliyemshika mguu nae kaajiliwa India ucku izi ? Lini aliacha kaz mwananyamala ?
 
Mbona kwa Tundu Lissu taarifa alikuwa anatoa Mbowe na Msigwa kwani madaktari hawakuwepo?!!......Ni mfano tu lakini wakuu!!
 
Jamani dada alikua anaumwa ndio maana akaomba msaada,hai make sense afanyie usanii jambo ambalo lilikua linamsumbua ,acheni kumsakama dada wa watu kisa Mange kasema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…