Taarifa kutoka hospitali aliyopo Wastara kuhusu matibabu yake

Dunia ngumu sana hii
 
Hiyo taarifa kutoka hospitali aliyopo wastara ipo wapi?

Mbona mie hata siioni, au wenzangu nyie mmeiona?.

Masoud Kaftany ni msemaji wa waigizaji. Sio msemaji wa saifee hospital (Mumbai).
Hapana mkuu, sijaona pia!
 
Kuna wapumbavu wengi sana humu mitandaoni..

Tangu lini taarifa ya hospital ikawa ni public property!?
 
Sisi mazezeta tutamsikiliza kichaa mwenzetu ndo anataarifa ya kweli...
 
Wabongo ni watu wa choko choko. Basi mwenzao kupewa msaada wa pesa za matibabu imekuwa nongwa utadhani pesa zimetoka mifukoni mwao.
Mi naona ni 15 mil alizopewa na rais ndo zinawafanya watu wanaongea ovyo. Zimewauma balaa. Nafikiri angekufa pia wangemlaumu rais why hata hakutaka kumsaidia wastara akatibiwa. So watz wazembe kufanya kazi wamekalia majungu tu
 
Hiyo picha anayoonekana amekalia viti vya plastic itakuwa ya Tanzania. Hospitali za India hawana viti vya plastic!
Guys mwacheni kumpa stress wastara aiii. Mi nimekaa india naijua vizuri hata mumbai nishafika, nliugua nikaenda kutibiwa appolo hospital ya bangarole nlikalia viti vya plastik kama cha alichokalia wastara. India ni kama bongo tu wala haina tofauuti labda barabara za flyover ni nyingi kuliko kwetu. Ila mambo mengine ni kama dar tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…