Taarifa kutoka hospitali aliyopo Wastara kuhusu matibabu yake

Yaani huko lndia mgojwa anakaa kwenye kiti cha plastick anahudumiwa najiuliza tu
 
huyu muigizaji hana tofauti na baadhi ya watu wanao jipofua ili wakaombe misaada.

namshauri ajiuguze na kisha akae kimya asitudanganye ...au atutajie hilo jina la hio zahanati hapo india tukamshuhudie
 
Sasa kama ndio hivyo ni kwanini hakwenda Muhimbili? Hivi kuna kitu gani hiyo hospitali ya Safee inaweza kufanya halafu Muhimbili washindwe?
 
Naona unajaribu kutetea kwa nguvu zote,

Ni haki yao watu kuhoji na kufuatilia, aliyemchqngia mshahara wake unatokana na kodi zao
Hahahahah sawa Mkuu ila daahh walizidi Asee maana mapovu ,kiasi kwamba hata Mgonjwa anajisikia katengwa .

Sasa angalia mwanadam alivyo.

Huyu mwanadada alivyosema Pesa zake anazulumiwa ,watu wakamponda.

Akaomba msaada watu wakamponda.

Magu akumpa ,bado watu wanamponda.
 
Huyo mgonjwa Kuna pahala anajichanganya mkuu, weka mahaba pembeni

Mshaurini atulie aachane kwanza na midia ajiuguze, akipona aje na risiti za matibabu
 
Huyo mgonjwa Kuna pahala anajichanganya mkuu, weka mahaba pembeni

Mshaurini atulie aachane kwanza na midia ajiuguze, akipona aje na risiti za matibabu
Mkuu mgonjwa Wetu anawaza mguu basi mpaka anapagawa na media !!.

Ngoja ujumbe utamfikia.kwasasa tumpe moyo
 
Mkuu mgonjwa Wetu anawaza mguu basi mpaka anapagawa na media !!.

Ngoja ujumbe utamfikia.kwasasa tumpe moyo
Mkuu nachukia mno ujinga

Mungu anapokupa nafasi watakiwa uitendee haki, lkn si kwa wasanii wetu na baadhi ya viongozi,

Kwenye pati zao zsizo na mashiko wanatuzana ma malaki ya pesa, hawakumbuki kesho yao itakuwaje, kujiwekea akiba nawachukia sana,

Kwa mtz wa hali ya kawaida akiumwa tumbo LA kuhara km hana elfu moja hawezi hata kupokelewa pale dirishani zahati, na hakuna wa kumpa msaada na hali hiyo inapelekea umauti kumfika, wapo wengi, wenye majanga mazito wapo wengi ila nani anajali kuhusu wao?

Haipendezi, inachukiza na kutia hasira kwa mgonjwa aina ya huyu bibie
 
Ulichokiongea ni 100%. Yaaan tuna wasanii nabaadhi ya viongozi wa kisiasa wanaoshangaza sanaaa .

Sijui nikwann hatuna kasumba ya kuinvest kwabaadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…