Taarifa kutoka hospitali aliyopo Wastara kuhusu matibabu yake

Mimi niliamuwa kukaa kimya lakini sasa navunja ukimya, kuna tatizo kwa huyu Wastara.

Hiyo picha hapo juu huyo muuguzi/ daktari? Ni pure mbongo ksbisa, na binafsi huwezi kuniaminisha eti India wana uhaba wa madaktari mpaka wamuajiri Muafrica kwenye hosputali zao.

Kuna kitu hakiko sawa, kwenye tukio lolote la kiharifu ni mara chache sana waharifu kutokuacha xbit cha kurahisisha uchunguzi, something fishy katika hili open ur eyes.

Isitoshe taarifa ya hospitali huwa inatolewa na Ofisa uhusiano wa hospitali husika na siyo na Mbongo movie.
 
Ulichokiongea ni 100%. Yaaan tuna wasanii nabaadhi ya viongozi wa kisiasa wanaoshangaza sanaaa .

Sijui nikwann hatuna kasumba ya kuinvest kwabaadae.
Hichi kinachoendelea kwa mgonjwa huyu, wacha iwe funzo kwake na kwa wengine,

Simuonei huruma, sitafanya hivyo, kwa sababu ni mpuuzi,

Aliomba mwanzoni akapewa, Mungu akampa nafasi nyingine akajisahau, tena karudi kwa staili ile ile, kwan tz wenye uhitaji wa kuonewa huruma ni yy peke yake?

Redio free afrika kila j2 kuna kipindi pale kuanzia SAA mbili asubuhi, mkuu watu wana matatizo

Penda kutembelea Hosp uone watu walivyo na mazito, huna pesa hupati matibabu, na hata ukilia hakuna ataejali sauti wala machozi yako, kwa sababu hakuna anokujua

Bora nikanywe pombe kuliko kumchangia MTU aina ya huyu, asiyejua maana ya uwepo wake duniani
 
Haya ndio madhara ya degree za India unakuwa mpumbavu wa kiwango cha PhD.

Mimi nimetimba India tangu Mumbai ikiitwa Bombay lakini huwezi kulinganisha na Dar wacha longolongo zako.
 
aiseee kumbe umeona ..hahaa ana wiving then kasuka ..hii Kali aisee..kwahiyo amelazwa huku anasuka huko huko hospital


Sasa unataka alale hospitali kama yupo kwa Sangoma?
 
Wabongo watu waajabu sana !! msaada hawakumpa wao lkn sasa MTU anataka kujua mpaka Matibabu anayopewa.

Una uhakika gani 15m za sozinje si kodi zetu? Sozinje anetamka wazi kuwa mshahara wake ni 9m kwa mwezi. Inaingia akilini yeye atoe 15m?
 
Pole yake ila nikikumbuka vituko alivyomfanyiaga yule mbunge kipind kile nasema tu wadada wanatakiwa kujifunza mambo mengi hasa nidhamu ya ndoa na kuwa na muono wa mbali Leo hii alikuwa sio kuteseka hivyo
 
Sasa unataka alale hospitali kama yupo kwa Sangoma?
nyinyi ndio mnaolishwa matango pori daily ..kwahiyo zile pictr zinamuonyesha kuwa yupo India au sio ..!?? hahaa yupo India huku akiwa anahudumiwa na wabongo wenzie yaani hao wabongo wamepewa kazi katk hospital za India ..tena pictr zote mbili ni za wabongo lol...wameshindwa kupata hata muhudumu mmoja wa kihindi ..aiseee
 
Bollywood vs Tollywood . Tusubiri filamu kali. Ila wastara huenda anaumwa kweli na ni muigizaji mahiri sana wa vyote. Alishawahi kuigiza anabonda gari kioo (windscreen) akaibonda ukweli ukweli japo alikuwa anaigiza. Hadi sasa Wastara bado ni muigizaji.

Tunamuombea [emoji1431]
 

Nadhani tungepewa taarifa kamili ni lini labda anatarajia kuacha kuwa Tapeli tungeshukuru na hata kufarijika zaidi ili tuliobakia huku nchini Tanzania tusizidi Kutapeliwa nae tena.
 
Ata wewe si ndo walewale tu,. Nimeona tangazo lako la kuomba mchango wa kuumwa
Mkuu, nimeomba uniombee. Pesa yako haitosaidia maana nimeshatumia dawa lakini imedunda. Kinachotakiwa ni maombi maana niko kwenye maumivu makali sana as I speak.
 
Ni kweli utofauti wa kimazingira wa hizo picha upo wazi kabisa, picha ya juu hapo siyo hospital bali ni kichumba fulani hivi, picha ya chini hapo ni kweli inaonesha ni hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…