Taarifa kwa Mawakili Wasomi wote

Taarifa kwa Mawakili Wasomi wote

Hizo alama kwa hiyo uko kwenye semina huwa kuna mitihani?kama nahisi wakili mmoja hivi maarufu sijui nae ni msomi nahizi hata hizo kumi kazipita huwenda yuko kwenye 50 maana kila kitu kwenye Sheria anajua adi jamaa mmoja akamwambia hadi wakati mwingine anawadaganya wezake lakini kwa vile wanamuamini wanakubali tu..
 
Kwa nini mnapenda kujiita mawakili wasomi? Msipojiita hivyo watu hawatajua kama nyie ni wasomi au? Kuitwa wakili tu peke yake haitoshi?

Na nyie ndo mmesoma sana kuliko wengine au inakuwaje? Na kuna mawakili ambao sio wasomi?

Wapuuzi kabisa nyie watu. Jaribuni kuwa na humility hususan ukizingatia mambo yenyewe mmeiga iga tu kutoka nchi zingine.
Mkuu Nyani Ngabu,usichukie.Huo ni msamiati wa kawaida kama ilivyo mingine. Kutuita wapuuzi hakutakusaidia kitu. Ukipenda kuitwa hivyo nawe kasome sheria na uwe Wakili Msomi ha ha ha ha ha
 
Last edited by a moderator:
Hizo alama kwa hiyo uko kwenye semina huwa kuna mitihani?kama nahisi wakili mmoja hivi maarufu sijui nae ni msomi nahizi hata hizo kumi kazipita huwenda yuko kwenye 50 maana kila kitu kwenye Sheria anajua adi jamaa mmoja akamwambia hadi wakati mwingine anawadaganya wezake lakini kwa vile wanamuamini wanakubali tu..
Mkuu NAPITA,kuhudhuria tu Mikutano na Semina kunatosha kutoa alama husika.Hakuna mitihani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nyani Ngabu,usichukie.Huo ni msamiati wa kawaida kama ilivyo mingine. Kutuita wapuuzi hakutakusaidia kitu. Ukipenda kuitwa hivyo nawe kasome sheria na uwe Wakili Msomi ha ha ha ha ha

Mimi wala siyo msomi. Ni mbeba maboksi tu. Na sheria ni ngumu sana kuisoma hivyo hata nikijaribu nitafeli tu. Na wala sichukii. Ila kujiita wasomi ni upuuzi na upumbavu tu kwa sababu hamna usomi wowote ule zaidi ya wasomi wengine.
 
Basi Mkuu,ya Ngoswe mwachie Ngoswe
 
Mkuu NAPITA,kuhudhuria tu Mikutano na Semina kunatosha kutoa alama husika.Hakuna mitihani

Kumbe sasa wale wakule kwetu Bariadi kunguliabashashi ambapo hata GPS Aisomi inakuaje hizo semina,na mikutano kweli wanapata mialiko au taarifa kwamba inafanyika?
 
Walatini walisema ndevu hazimfanyi mtu kuwa mwanafalsafa "barba non facit philosophum".

Waswahili wakasema "Chema chajiuza, kibaya chajitembeza".

Kwa wasomi wa kwee mashauzi noma.

Na wenye mashauzi ya kujipat kwa usomi kila wanapotajana hawajawa wasomi bado.
 
Msomi mwenzangu Petro Eusebius Mselewa, asante sana kwa taarifa ya kutukumbusha kuhusu jukumu hilo la kulipia ada zetu za uwakili. Ofisi imepanga kuyakamilisha hayo yote kesho, Mwenyezi Mungu akitupa uhai. Naendelea kufurahia ushindi wa kesi ya Jamhuri dhidi ya Samson Maingu Mwigamba. Karibu tufurahi pamoja
Unapatikana wapi Wakili Msomi John Mnaku Bonaventure Mhozya? Hongereni sana (nyinyi na waliokuwa wateja zenu)
 
Kumbe sasa wale wakule kwetu Bariadi kunguliabashashi ambapo hata GPS Aisomi inakuaje hizo semina,na mikutano kweli wanapata mialiko au taarifa kwamba inafanyika?
Taarifa huwafikia Mawakili Wasomi wote popote pale walipo. Kuhudhuria na kupata alama ni jambo lingine
 
Walatini walisema ndevu hazimfanyi mtu kuwa mwanafalsafa "barba non facit philosophum".

Waswahili wakasema "Chema chajiuza, kibaya chajitembeza".

Kwa wasomi wa kwee mashauzi noma.

Na wenye mashauzi ya kujipat kwa usomi kila wanapotajana hawajawa wasomi bado.
Learned Brothers and Sisters. Being a Lawyer is neither trivial nor immaterial. It tastes good
 
Kama ndo hivyo basi tuanzishe cheo cha wanajf wasomi....watakuwa wanapata alama zo kupitia like na quotation..baada ya hapo wanaula certificate zao
 
Learned Brothers and Sisters. Being a Lawyer is neither trivial nor immaterial. It tastes good

Even the likes of Andrew Chenge are lawyers too, Harvard trained at that. But that proved immaterial when matters of true integrity and scholarship were concerned.

And whether it tastes good or not is immaterial to the discussion regarding the validity of this shameful showboating your ilk display.

Of course, depending on where you spring from - especially if it is the bottom of some rock-, being a lawyer may prove to be the epitomy of your dreams.

But others would tell you sarcastically "the law is an a.ss".

Like I said, the truly learned do not need to constant remind each other and the world that they are learned, this constant reminding is the habit of an ugly insecure girl who needs to be assured that she is beautiful.

Not learned lawyers.
 
Dear non lawyers, (I purposely avoidf the term 'laymen' for obvious reasons).
You'll never understand some things. To that end, I would urge you to make no fuss about nothing.Cause you aren't compelled to call us 'mawakili wasomi.' which is a direct translation of 'learned advocates/counsels'.
It is a privilege amongst ourselves.I bet you didn't know that. Just as much as you don't necessarily have to bow before a judge/magistrate. I bet you also didn't know that that is a privilege of us 'mawakili wasomi.'

But I will be committing grave crime against logic assuming you'd take solace in learning. You may as well want to take the benefit of doubt.

I rest my case.
 
Mmmh, kwa nini taarifa hii hawajaituma kwenye group email?
 
"I would urge you to make no fuss about nothing"

Huyu naye ni mmoja wa hao "learned lawyers"? Mashauzi kibao kuhusu logic wakati hajui "to make no fuss about nothing" is not only colloquial language not up to the highfalutin standards these jokers bestow on themselves, it is also illogical in context here.

Tehe, tehe, tehe, tehe.
 
Back
Top Bottom