Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni

Taarifa Kwa Umma: Fact Finding Mission-Jimbo la Kigamboni

Why Kigamboni???who are you ???
Mkuu,Does it matter or is the typical reactionary mindset.We can do it for other areas as well if there is a person interested with such data.You are welcome to take part if you are based in Kigamboni.I hope your mind is eased.
 
andoza hizo Fedha mnazopewa na Makonda ili kumfanyia 'Ushawishi' apewe Jimbo hilo zitawatokeeni puani. Msilazimishe Kisichotakiwa huko sawa?
Mkuu Makonda hana uwezo wa kutulipa,Hii ni Fact finding Mission tu.
 
Naona mzee una mkusanyia hoja za kampeni mgombea mmojawapo wa Kigamboni.
Safi sana, mjini akili.
 
Naona mzeeunamkusanyia hoja za kampeni mgombea mmojawapo wa Kigamboni.
Safi sana, mjini akili.
Angalau wewe umeanza kuelewa...Wengine naona wana sentiments.Kama wewe ni kazi wa Kigamboni unaweza leta maoni yako pia
 
Angalau wewe umeanza kuelewa...Wengine naona wana sentiments.Kama wewe ni kazi wa Kigamboni unaweza leta maoni yako pia
Kwetu Ubungo mkuu.
Sema kidogo umekosea muda wa kufanya hili jambo.
Kama una watu wanojielewa wanaweza kukukwamisha kwa swali flani ambalo kwa sasa tulikaushie nisikuharibie malengo yako.
 
Back
Top Bottom