Taarifa kwa Umma: Humphrey Polepole Kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari Leo Jumapili Kuanzia Saa 8 Mchana

Polepole angelikuwa mwepesi Ufipa msingelimfungulia thread kila mara
 
MPUUZI HUYU,HANA JIPYA
 
Tuko bize na Tundu Lissu hatuwezi kisikiliza upoyoyo wa chama cha kishetani...

Awaite uvccm awaelekeze zilipo 1.5trn
 
Achana na press fanyeni Mambo yanayoonekana Kama wenzenu, wao wamesoma wapi Hadi wawe na upeo mkubwa kiasi hiki? Sisi tunakosaje wanamikakati Kama walivyo CHADEMA?
 
Parte after parte...press after press. Anataka labda kujibu alichosema Lissu jana kwenye press yake na waandishi Mwanza.

Bahati mbaya sana hawa waandishi wanakwenda pale kama secretaries tu na notebook kuchukua notes. Hakuna mwenye guts kuuliza maswali magumu na yenye tija
 

Wakiuliza maswali yatawakuta haya ya yaliowakuta wenzao, bora tu wajinyamazie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…