Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Press conferences za Polepole tu zinawatoa macho hivi. Je, siku akija Mgombea Mwenza Samia itakuwaje!?Hakuna wa kumuani huyu!
Tunasubiri propaganda nyepesi kutoka kwa huyu mtu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Press conferences za Polepole tu zinawatoa macho hivi. Je, siku akija Mgombea Mwenza Samia itakuwaje!?Hakuna wa kumuani huyu!
Tunasubiri propaganda nyepesi kutoka kwa huyu mtu!
Kila wakati kuongea na wanahabariNdugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
•Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote [emoji736][emoji736][emoji736] kwa Mkweli Namba1 @MagufuliJP•View attachment 1582246
Tutafutie huko UK.CCM Polepole ni mwepesi sana kujibu hoja za Lissu. Tafuteni mwenye uwezo huo.
Mwiba ulioozaKelele zote hizi ni kwa sababu Polepole ni mwiba mchungu kwenu
MPUUZI HUYU,HANA JIPYAKampeni zinaendelea, CCM chama changu mmejifungia sijua wapi. Kila siku Polepole anaitisha waandishi wa habari kuwaeleza yaleyale, kwanini tusimkemee na kumfundisha namna ya kutengeneza habari zinazouza? Jambo likirudiwa mara kwa mara kwa njia ileile hata Kama ni zuri linaboa.
Press kila siku hazina tija kwa wapiga kura wala wanachama, tunatamani tukimbie Kama wanavyokimbia wenzetu huku mtaani.
Kampeni za Lisu yupo peke yake bila usaidizi wa Mbowe wala figure kubwa ya chama na anatoboa, sisi tunakwama wapi?
Kwanini tumepoteza mvuto kwa wapiga kura? Kwanini tusitumie mbinu kuwajua wanaotuhujumu na kukaa nao meza moja ya maridhiano kuliko kuwatisha?
Uanachama Ni haki ya mtu, tuwarudie tuliowakata na kuwaomba radhi ili wakasimame majukwaani na sisi. Muda unaotumia kufanya press ungetengeneza maridhiano ndani ya chama na kukubali kwamba ninyi watu wachache amwezi kushinda uchaguzi Wala kuwavutia watu wawachague.
Mlishawatukana Watanzania, mliwaambia wabunge wetu wasiguswe hata wasipofanya chochote na wao wakabweteka kwa sababu tulisema wasiguswe. Tulidhani wanaoumia ni wapinzani kumbe mliwaumiza Watanzania, wabunge wetu walichaguliwa na wananchi na si wapinzani, ombeni radhi kwa kuwadharau wapiga kura.
Achana na press fanyeni Mambo yanayoonekana Kama wenzenu, wao wamesoma wapi Hadi wawe na upeo mkubwa kiasi hiki? Sisi tunakosaje wanamikakati Kama walivyo CHADEMA?
Pole sana!Press conferences za Polepole tu zinawatoa macho hivi. Je, siku akija Mgombea Mwenza Samia itakuwaje!?
Achana na press fanyeni Mambo yanayoonekana Kama wenzenu, wao wamesoma wapi Hadi wawe na upeo mkubwa kiasi hiki? Sisi tunakosaje wanamikakati Kama walivyo CHADEMA?Kampeni zinaendelea, CCM chama changu mmejifungia sijua wapi. Kila siku Polepole anaitisha waandishi wa habari kuwaeleza yaleyale, kwanini tusimkemee na kumfundisha namna ya kutengeneza habari zinazouza? Jambo likirudiwa mara kwa mara kwa njia ileile hata Kama ni zuri linaboa.
Press kila siku hazina tija kwa wapiga kura wala wanachama, tunatamani tukimbie Kama wanavyokimbia wenzetu huku mtaani.
Kampeni za Lisu yupo peke yake bila usaidizi wa Mbowe wala figure kubwa ya chama na anatoboa, sisi tunakwama wapi?
Kwanini tumepoteza mvuto kwa wapiga kura? Kwanini tusitumie mbinu kuwajua wanaotuhujumu na kukaa nao meza moja ya maridhiano kuliko kuwatisha?
Uanachama Ni haki ya mtu, tuwarudie tuliowakata na kuwaomba radhi ili wakasimame majukwaani na sisi. Muda unaotumia kufanya press ungetengeneza maridhiano ndani ya chama na kukubali kwamba ninyi watu wachache amwezi kushinda uchaguzi Wala kuwavutia watu wawachague.
Mlishawatukana Watanzania, mliwaambia wabunge wetu wasiguswe hata wasipofanya chochote na wao wakabweteka kwa sababu tulisema wasiguswe. Tulidhani wanaoumia ni wapinzani kumbe mliwaumiza Watanzania, wabunge wetu walichaguliwa na wananchi na si wapinzani, ombeni radhi kwa kuwadharau wapiga kura.
Achana na press fanyeni Mambo yanayoonekana Kama wenzenu, wao wamesoma wapi Hadi wawe na upeo mkubwa kiasi hiki? Sisi tunakosaje wanamikakati Kama walivyo CHADEMA?
Ana uzito gani Huyo yupo kimaslahi tuu yeye mwenyewe ni minxaniPolepole angelikuwa mwepesi Ufipa msingelimfungulia thread kila mara
Amepata mapya ya kuongezea alipoishia.Huyu mkubwa si kaongea juzi tu hapa? Anahisi hakuweza kufikisha ujumbe vizuri anataka arudie?
Ni wakati mwingine wa kusikiliza upuuuuzi.Ndugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
•Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote [emoji736][emoji736][emoji736] kwa Mkweli Namba1 @MagufuliJP•View attachment 1582246
Parte after parte...press after press. Anataka labda kujibu alichosema Lissu jana kwenye press yake na waandishi Mwanza.
Bahati mbaya sana hawa waandishi wanakwenda pale kama secretaries tu na notebook kuchukua notes. Hakuna mwenye guts kuuliza maswali magumu na yenye tija