Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Angalau umeanza kuwa na wasiwasiCcm Sioni Popote Ikishindwa!!!
Ina Vyombo, Sinia, Bakuri, Pipa
JW,TISS, POLICE, PCCB, PRISON, FIRE, IMMIGRATION, MADAWA YA KULEVYA
Haa😁😂
Ila Siku Ya Kufa Nyani Miti Yote Huteleza, Maji Utaita Mmaa
Duu! Channel 10 na TBC HavitoshiNdugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
•Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote [emoji736][emoji736][emoji736] kwa Mkweli Namba1 @MagufuliJP•View attachment 1582246
Na pia wasisahau kuuliza kuhusu fao la kujitoa.. ccm wana mkakati gani juu ya hilo??? Ingawa sidhani kama haya maswali yataulizwa... Usishangae yakaja maswali kama ya press iliyopita... Waandishi wetu nao sijajua wanakwama wapi...Waandishi wa habari mtusaidiekumuhuliza haya maswali.
1: Kwani nini mgombea wa ccm amewahita wakurugenzi wote Dodoma? Je si kosa kisheria mgombea kuwahita hao wazimamizi wakati huu wa kampeni?
2: Mgombea kutoa pesa au maagizo ya utekelezaji wa miradi mbalimbali kwenye kampeni si rushwa? Na kama si rushwa je hiyo inahitwaje, na je mgombea mwingine akitoa pesa kutekeleza jambo fulani akiwa kwenye kampeni ni sawa?
Polepole, Bashiru na Mwenyekiti ndiyo wamechimba kaburi la Chama chetu.Kampeni zinaendelea, CCM chama changu mmejifungia sijua wapi. Kila siku Polepole anaitisha waandishi wa habari kuwaeleza yaleyale, kwanini tusimkemee na kumfundisha namna ya kutengeneza habari zinazouza? Jambo likirudiwa mara kwa mara kwa njia ileile hata Kama ni zuri linaboa.
Press kila siku hazina tija kwa wapiga kura wala wanachama, tunatamani tukimbie Kama wanavyokimbia wenzetu huku mtaani.
Kampeni za Lisu yupo peke yake bila usaidizi wa Mbowe wala figure kubwa ya chama na anatoboa, sisi tunakwama wapi?
Kwanini tumepoteza mvuto kwa wapiga kura? Kwanini tusitumie mbinu kuwajua wanaotuhujumu na kukaa nao meza moja ya maridhiano kuliko kuwatisha?
Uanachama Ni haki ya mtu, tuwarudie tuliowakata na kuwaomba radhi ili wakasimame majukwaani na sisi. Muda unaotumia kufanya press ungetengeneza maridhiano ndani ya chama na kukubali kwamba ninyi watu wachache amwezi kushinda uchaguzi Wala kuwavutia watu wawachague.
Mlishawatukana Watanzania, mliwaambia wabunge wetu wasiguswe hata wasipofanya chochote na wao wakabweteka kwa sababu tulisema wasiguswe. Tulidhani wanaoumia ni wapinzani kumbe mliwaumiza Watanzania, wabunge wetu walichaguliwa na wananchi na si wapinzani, ombeni radhi kwa kuwadharau wapiga kura.
Achana na press fanyeni Mambo yanayoonekana Kama wenzenu, wao wamesoma wapi Hadi wawe na upeo mkubwa kiasi hiki? Sisi tunakosaje wanamikakati Kama walivyo CHADEMA?
Na pia wasisahau kuuliza kuhusu fao la kujitoa.. ccm wana mkakati gani juu ya hilo??? Ingawa sidhani kama haya maswali yataulizwa... Usishangae yakaja maswali kama ya press iliyopita... Waandishi wetu nao sijajua wanakwama wapi...
Kuna nondo za muhimu atazishusha kuhusu uchumi.Polepole huwapa shida sanaa...na kiukweli Polepole yuko smart
Mgombea wao kajiengua kwa hiari yake mwenyewe ktk kinyang'anyiro cha nafasi nyeti ya uraisi nini? Atakuwa amefanya uamuzi sahihi, kwa kuwa anguko lake lilikuwa ni bayana kabisa.Ndugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
•Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote [emoji736][emoji736][emoji736] kwa Mkweli Namba1 @MagufuliJP•View attachment 1582246
Ndugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
•Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote [emoji736][emoji736][emoji736] kwa Mkweli Namba1 @MagufuliJP•View attachment 1582246
Kwa mentality hii....kazi mnayoNdugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
•Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote [emoji736][emoji736][emoji736] kwa Mkweli Namba1 @MagufuliJP•View attachment 1582246
Kututangazia mkutano wa chakubanga ni sawa kutangaza mapitio ya mdundikoNdugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
•Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote [emoji736][emoji736][emoji736] kwa Mkweli Namba1 @MagufuliJP•View attachment 1582246
Wataongea sana na waandishi wa habari mwaka huu!! Dadeki, kweli Lissu kawashika pabaya saana!!Ndugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
•Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote [emoji736][emoji736][emoji736] kwa Mkweli Namba1 @MagufuliJP•View attachment 1582246
huyu jamaaa sura yake hata siiiyelewagi mzee si mzeee,kijana si kijanaNdugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
•Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote [emoji736][emoji736][emoji736] kwa Mkweli Namba1 @MagufuliJP•View attachment 1582246
Umasikini wa tumbo tu unamsumbua.Kwani huko CCM anayegombea ni Magufuli au Polepole? Maana naona ndiye anayeitisha press na kuleta hoja japo ni vioja ni Polepole.
Zungumzia naswala lanyavu kuchoma bilakuufata utaratibu nakuteka engeine zetu yaani mashine zaboat mmeziteka mpaka sasa mnazishikilia kwa kujidaia madarakaNdugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako
Tuna Jambo Letu Leo
Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote kwa Mkweli Namba1, Dkt. Magufuli
View attachment 1582246
Afadhali.Basi atajibu Ole sendeka!
Huenda kuna vitu alivisahau. Labda