Taarifa kwa Umma: Humphrey Polepole Kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari Leo Jumapili Kuanzia Saa 8 Mchana

Taarifa kwa Umma: Humphrey Polepole Kufanya Mkutano na Waandishi wa Habari Leo Jumapili Kuanzia Saa 8 Mchana

Ccm Sioni Popote Ikishindwa!!!
Ina Vyombo, Sinia, Bakuri, Pipa
JW,TISS, POLICE, PCCB, PRISON, FIRE, IMMIGRATION, MADAWA YA KULEVYA

Haa😁😂
Ila Siku Ya Kufa Nyani Miti Yote Huteleza, Maji Utaita Mmaa
Angalau umeanza kuwa na wasiwasi
 
Waandishi wa habari mtusaidiekumuhuliza haya maswali.

1: Kwani nini mgombea wa ccm amewahita wakurugenzi wote Dodoma? Je si kosa kisheria mgombea kuwahita hao wazimamizi wakati huu wa kampeni?

2: Mgombea kutoa pesa au maagizo ya utekelezaji wa miradi mbalimbali kwenye kampeni si rushwa? Na kama si rushwa je hiyo inahitwaje, na je mgombea mwingine akitoa pesa kutekeleza jambo fulani akiwa kwenye kampeni ni sawa?
Na pia wasisahau kuuliza kuhusu fao la kujitoa.. ccm wana mkakati gani juu ya hilo??? Ingawa sidhani kama haya maswali yataulizwa... Usishangae yakaja maswali kama ya press iliyopita... Waandishi wetu nao sijajua wanakwama wapi...
 
Msiwe na wasiwas huenda " Huenda anawaita kuwambia "Ndg waandishi tupo hapa kuwambia Mgombea wetu ameshindwa kujibu hoja "hivyo tumejitoa kwenye uchaguzi huu!!Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Africa!! Hakuna maswali Kwaherini!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kampeni zinaendelea, CCM chama changu mmejifungia sijua wapi. Kila siku Polepole anaitisha waandishi wa habari kuwaeleza yaleyale, kwanini tusimkemee na kumfundisha namna ya kutengeneza habari zinazouza? Jambo likirudiwa mara kwa mara kwa njia ileile hata Kama ni zuri linaboa.

Press kila siku hazina tija kwa wapiga kura wala wanachama, tunatamani tukimbie Kama wanavyokimbia wenzetu huku mtaani.

Kampeni za Lisu yupo peke yake bila usaidizi wa Mbowe wala figure kubwa ya chama na anatoboa, sisi tunakwama wapi?

Kwanini tumepoteza mvuto kwa wapiga kura? Kwanini tusitumie mbinu kuwajua wanaotuhujumu na kukaa nao meza moja ya maridhiano kuliko kuwatisha?

Uanachama Ni haki ya mtu, tuwarudie tuliowakata na kuwaomba radhi ili wakasimame majukwaani na sisi. Muda unaotumia kufanya press ungetengeneza maridhiano ndani ya chama na kukubali kwamba ninyi watu wachache amwezi kushinda uchaguzi Wala kuwavutia watu wawachague.

Mlishawatukana Watanzania, mliwaambia wabunge wetu wasiguswe hata wasipofanya chochote na wao wakabweteka kwa sababu tulisema wasiguswe. Tulidhani wanaoumia ni wapinzani kumbe mliwaumiza Watanzania, wabunge wetu walichaguliwa na wananchi na si wapinzani, ombeni radhi kwa kuwadharau wapiga kura.

Achana na press fanyeni Mambo yanayoonekana Kama wenzenu, wao wamesoma wapi Hadi wawe na upeo mkubwa kiasi hiki? Sisi tunakosaje wanamikakati Kama walivyo CHADEMA?
Polepole, Bashiru na Mwenyekiti ndiyo wamechimba kaburi la Chama chetu.
 
Na pia wasisahau kuuliza kuhusu fao la kujitoa.. ccm wana mkakati gani juu ya hilo??? Ingawa sidhani kama haya maswali yataulizwa... Usishangae yakaja maswali kama ya press iliyopita... Waandishi wetu nao sijajua wanakwama wapi...

Tusiwalaumu sana. Maswali mengi huwa yameshaandaliwa, hivyo wanapewa watu fulani ili waulize, na majibu huwa yameshaandaliwa tayari.
 
Kwenye Utawala Wangu Hakuna NEUTRAL
Nimekusikia Baba
DSPkcWMW4AA2qYr.jpg
 
Ndugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako

Tuna Jambo Letu Leo

•Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote [emoji736][emoji736][emoji736] kwa Mkweli Namba1 @MagufuliJP•View attachment 1582246
Mgombea wao kajiengua kwa hiari yake mwenyewe ktk kinyang'anyiro cha nafasi nyeti ya uraisi nini? Atakuwa amefanya uamuzi sahihi, kwa kuwa anguko lake lilikuwa ni bayana kabisa.
 
Tatzo Polepole anapambana na hoja za Lissu kwa jazba.Ipo siku ataanza kulia mbele za watu.
 
Ndugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako

Tuna Jambo Letu Leo

•Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote [emoji736][emoji736][emoji736] kwa Mkweli Namba1 @MagufuliJP•View attachment 1582246
Wataongea sana na waandishi wa habari mwaka huu!! Dadeki, kweli Lissu kawashika pabaya saana!!
 
Ndugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako

Tuna Jambo Letu Leo

•Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote [emoji736][emoji736][emoji736] kwa Mkweli Namba1 @MagufuliJP•View attachment 1582246
huyu jamaaa sura yake hata siiiyelewagi mzee si mzeee,kijana si kijana
 
Hii habari ya kujibizana huyu huku huyu kule itatuchosha sisi wapigakura. Tundu Lisu kutoka CHADEMA na Yeyote anayedhani anatosha kutoka CCM, iwe Polepole, iwe Palamagamba Kabudi, iwe Magufuli, iwe Majaliwa, wamlete ufanyike mdahalo live tumalizie ubishi!!!
 
Ndugu Mtanzania Mzalendo tafadhali mkumbushe & Mtaarifu Mwenzako

Tuna Jambo Letu Leo

Iko faida ya kuuishi na kuusema ukweli, Na leo nitausema na kuudhihirisha ukweli. Kura zote kwa Mkweli Namba1, Dkt. Magufuli
View attachment 1582246
Zungumzia naswala lanyavu kuchoma bilakuufata utaratibu nakuteka engeine zetu yaani mashine zaboat mmeziteka mpaka sasa mnazishikilia kwa kujidaia madaraka
 
Back
Top Bottom