zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,221
Arabela house gal wako,Hahahaaaaa.. Hiyo style nliwahi muona housegal wangu ameweka
Mi nimetia sana hapo juu!Sitii neno
Hahahaaaaa.. Hiyo style nliwahi muona housegal wangu ameweka
wivu utawaua humu ndani
Tiririka mammyNimekubali kweli unanipenda. waache wanayosema na waseme. picha nzuri umenipamba sana asante..... natamani kusema .... i....u.
..............
...........Haitimae Mamndenyi ajibu mapigo kwa kunitupia kwanza picha yake ili iwe pambo na pale napo mkosa tu iwe kumbu kumbu tosha kwangu.
Angalia mwenyew hapo alikuwa katoka saloon acha weeeeeeeeeeh.....
109147