Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Hakuna haja ya Tangazo coz ushachelewaI will do it for you baby, ujue nilishindwa kutoa tangazo sababu ya utata wa mwenyekiti wa ndoa maana kulikuwa na mapinduzi
Hakuna haja ya Tangazo coz ushachelewaI will do it for you baby, ujue nilishindwa kutoa tangazo sababu ya utata wa mwenyekiti wa ndoa maana kulikuwa na mapinduzi
mbona mapinduzi yaliisha zamani?. Jitahidi jumamosi mwenyekiti aeke bango hapa
Hakuna haja ya Tangazo coz ushachelewa
Hahahahaaa namtania Yahaya aaaaaaa
Lol Miss you mumy!
Mzima wewe?
Heeee mweeee!!!!!
Be ndauli.
Ndo kusema ulikuwa unanipenda ki ubaguzi.
Wew unapendwa sana,kule naangalia ukuaji wa mtoto,
Hivi unajua mi sipendi mitala.
..............
...........Haitimae Mamndenyi ajibu mapigo kwa kunitupia kwanza picha yake ili iwe pambo na pale napo mkosa tu iwe kumbu kumbu tosha kwangu.
Angalia mwenyew hapo alikuwa katoka saloon acha weeeeeeeeeeh.....
109147
Hivi unajua mi sipendi mitala.